NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima






Mkuu wewe kweli kiraza ndio shida.ya elimu madrasa,ekari kununukiwa m800 na bilioni1.2 ushahidi katoa CAG Mussa assad(muislam safi shule nzuri asie mamuma)
2Kuwa mteule wa rais hakukufanyi usiwe fisadi kina harry kitilya na rished bade wa TRA nao ni wateule wa rais,
Mauza uza unaona wewe nahisi una majini ila ujue Dau lazma anyee debe !endellea kubishia ujinga wenzio.kina Ritz leo wamekula bati hahahha
 
Pamoja na fact kwamba Taarifa haisemi kuwa yeye kaidhinisha ununuz wa hiyo hekari moja kwa sh million mia nane bado nakuuliza nawewe unaliamin hilo?

Teh teh teh

Uwiiiii....kaaz kweli kweli


Mkuu report ya CAG akishirikiana na wahasibu wa Ernst and young wewe huamini bado unataka ninu?mahakamma.itatoa majib don't worry Dau atakuwa balozi maweni au kisongo kama sio isanga na segerea
 
WADANGANYIKA KWA UNAFIKI NA UDINI HAWANA MPINZANI, UWONGO MWIINGI WANAUFANYA UKWELI, UZURI NI KWAMBA JPM RIPOTI YA CAG ANAYO NA UKWELI ANAUJUA
 
Pesa mwanaharamu kweli Dau alikuwa analipa makundi ya wahuni yaweze kumtetea mitandaoni.
 
Alhaji Ramadhani kitwana Dau kitanzini hhahahahaah mwisho wa ubaya aibu kaanikwa madudu na muislam mwenzie,kwanin mbona waislam wengi tu kina Assad hawana lawama ?(they are clean i guess )ila sheikhDau ukonga panamhusu
Tumetofautiana viwango tu. Sidhani kuna aliye squeaky clean!
 
Nawewe unakubali kuwa yeye Dau anaweza tambua hilo kuwa heka moja inauzwa million mia nane kisha nayeye atoe idhin?

Ha ha ha Dr Dau is smarter than that.


Anaetoa idhini ni executive director who.is Dau usilete utoto wako hapa Dau hana pa kuchomoka hata muandamane wavaa pedo wote
 




Wewe ennndelea kubisha ukwelu upo wazi eka moja m800 na b1.2 ipo kwenye report no deal can done without aprovall of a director u idiot
 
Nawewe unakubali kuwa yeye Dau anaweza tambua hilo kuwa heka moja inauzwa million mia nane kisha nayeye atoe idhin?

Ha ha ha Dr Dau is smarter than that.

We jinga sana smarter dau ee,ni mwivi aliyekubuhu,subirini kuna ripoti itatoka BOT&SSRA ndo utajua madudu ya huyo smarter wenu,
 

Huwa hata majambazi wako smart sana ktk kufanya kazi zao za kijambazi
 
We jinga sana smarter dau ee,ni mwivi aliyekubuhu,subirini kuna ripoti itatoka BOT&SSRA ndo utajua madudu ya huyo smarter wenu,
umesalimiwa na rafikio sir elton john. hujaanza kutembea na pampas maana mwenzio yupo mbioni. kwani wewe unaolewa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…