NSSF yazidi kuumbuka: Ufisadi wa ujenzi wa Hoteli Mwanza, jengo la biashara Mzizima

Kuna watu tumepiga sana kelele humu juu ya ufisadi wa Dr. Dau (full disclosure: I have no personal or professional relationship with Dr. Dau). Huyu bwana ni one of the most corrupt people in the country. People should be prepared for further suprises. Ame-preside wizi mkubwa sana kwenye shirika la umma.

Magufuli akisema kuna watu inabidi washushwe waishi kama shetani inabidi tumuelewe. He means it!

Sasa kweli kwa mwendo huu unategemea Rais Magufuli asipate upinzani uliotukuka????
 
Alhaji Ramadhani kitwana Dau kitanzini hhahahahaah mwisho wa ubaya aibu kaanikwa madudu na muislam mwenzie,kwanin mbona waislam wengi tu kina Assad hawana lawama ?(they are clean i guess )ila sheikhDau ukonga panamhusu


Kumbuka hii taarifa ya ukaguzi tu, baada ya hapo vitaenda vyombo vya uchunguzi kama Takukuru nk ambavyo sasa vikiona Dr Dau ana tuhuma vitampeleka mahakamani. Ila kwa serikali ya CCM tegemea kuna "kulindana" lolote linaweza kutokea.

Dr. Dau hasipo chukuliwa hatua stahili, sitokuwa na imani na serikali ya magufuri.
 
Hiyo pesa ni nyingi sana, siyo ajabu imetumika kupiga kampeni
 
hapa kwenye hili la Dau kuna chain ndefu,kuna mazito makubwa tunaweza yasikia.hata Magu anaweza kushindwa kutumbua hili jipu,maana kuna watu atawaonea haya
 
Nasubiria waliokuwa wanamtetea huyo Dau
 

No single stone will remain unturned.Mashetani wote lazima tuwajue, pesa zote hizi wamepeleka wapi??.Nadhani wamechukua pesa nyingi sana. Ninamshauri Rais magufuli pamoja na vyombo vya usalama. Wafanye uchunguzi wa kina wamiliki wote nchi nzima wa majumba yaliyojengwa na taasisi za umma kwa ajili ya kuuza mfano PPF, NSSF NHC LAPF na zingine, inaonekana watu wamekwiba pesa nyingi sana za umma, na njia pekee ni kuzitakatisha ni kununua haya majumba, wamebadilisha pesa walizoiba into REAL ASSETS.Ukiwakagua benk account zao utakuta wana balance ya 5,000,000 tu kumbe utajiri ukpo kwenye real assets.Siku moja nilipita pale MVOMERO kuna nyumba za NHC nikauliza bei nikaambiwa zote zimenunuliwa, haingii akilini.
 
Vipi kuhusu malipo ya lekadutigite?
Cc:MOTOCHINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…