Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu

Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa ujeruman na lengo ni ku-restore jurassic park

Kutakuwa na mradi sana wa kuwarudisha extinction animals wote wakiwemo dinasours kama nilivyoelezea kwenye huu uzi
Your browser is not able to display this video.
 
Hongera sana Rais wa mioyo ya wanaJF
 
Lakini unadanganya mkuu,

1. Hakuna turbosaurus, ni tarbosaurus.

2. Tanzania haijawahi kuwa na jurassic park, jurassic park ni riwaya, ni kisa cha kubuniwa.

3. Kurudisha dinosaria hakuwezekani, wametoweka miaka zaidi ya 60m iliyopita, DNA zinaharibika baada ya muda mrefu.

Inabidi moderators wawe wanakagua nyuzi zako, kuna uwezekano mkubwa ukapotosha watu mkuu.
 
Jurassic Park movie kaangalia ....baaada ya kuvuta bangi .....kaja kasema na yeye kusema anataka kuanzisha tanzania mafia ....... hiyo technology dunia ipo mostly in theories huwez kurudisha wale viumbe .....pia tanzania haina uwezo huo wa kuanzisha lab ya mtindo huyo ni lab za gharama mno


Huyu ni kichaaa kina msumbua ...sasa uangalie movie uje kusema na wewe unataka mambo ya movie

Usisahu mapolice wote watakuwa maroboti kama rob cop... pia usalama wa taifa watakuwa na uwezo wa james bond......maaana ndo bangi zako ukivuta na kuangalia movie zinakutuma hivyo
 
Cha muhimu wananchi tuna imani na Rais Denis... tunamsihi Rais Denis aendelee kuangalia movie nyingi zaidi ili awe anashusha madini humu.
 
Sasa mbona kuna mifupa yao na ilipatikana hapa duniani
 
Wewe ndo unatatizo la akili kama mifupa yao ya jamii zote za Dinasours ilipatikana duniani ni wazi jurassic park ilikuwepo

Hata hapa Tanzania mifupa yao ilipatikana na ipo ujerumani unashangaa nini wewe ndo unatatizo la akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…