Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

Ila kijana anayo akili sema sasa akaze apate ushawishi wa kifedha , au aongee na mimi vizuri nimtafutie wadhamini waweke pesa afanye hata demo ya haya anayosema tu
Demo tena hahha 😀
 
Nimesha kulima/ kuandika barua ili ujieleze kwanini una doubt na maono ya MH. MTUKUFU RAIS wetu ajaye mtarajiwa 😁
It's not a request it's an order hivyo popote ulipo naitaji maelekezo yako kwanini unakua na doubt na MTUKUFU RAIS wetu ajaye.

Barua nimetuma pm muheshimiwa ya kuomba radhi

Ni mbege tu niliyopewa na secretarybird ilinifanya nione kweli ni SI kweli
 
Bro nilitaka nikushauri kitu kuhusu kisiwa cha mafia, hicho kisiwa ni dili sana promo hamna hivo kama UTAUONA kunauwezekano tushirikiane kuwekeza huko kwa miradi midogomidogo halaf badae tuhamie kwenye utalii TUFANYE promotion, PESA ipo kule viwanja bado bei che


Fullstop, kwishaaa
 
Unaenda mbali sana aisee, kwa hali hiyo utafanya wananchi wakuone mzee wa fix.
 
Back
Top Bottom