Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

Lakini unadanganya mkuu,

1. Hakuna turbosaurus, ni tarbosaurus.

2. Tanzania haijawahi kuwa na jurassic park, jurassic park ni riwaya, ni kisa cha kubuniwa.

3. Kurudisha dinosaria hakuwezekani, wametoweka miaka zaidi ya 60m iliyopita, DNA zinaharibika baada ya muda mrefu.

Inabidi moderators wawe wanakagua nyuzi zako, kuna uwezekano mkubwa ukapotosha watu mkuu.
Utaambiwa hauna akili na una mwonea wivu, nipo paleee nakula zangu vodka na barafu kwa mbali👨‍💻
 
Weka namba ya simu ccm wanaweza kukupa cheo maana wanataka waliotokwa na akili
IMG_1579.jpeg
 
Utaambiwa hauna akili na una mwonea wife, nipo paleee nakula zangu vodka na barafu kwa mbali👨‍💻
Hii nchi wasipoangalia miaka ijayo vijana watakua wanaongea peke yao...
That's why ni jukumu letu sie tulio na wtt kuwawekea vyanzo vya mitaji ikiwezekana kabisa na biashara zilizosimama...
Hali itakua mbaya 10 yrs to come
 
Mr shughuri baba yake angeacha pesa ya kutosha ungekuta kijana anachezea pesa za baba yake kuwarudisha dinosaurs 🤔
 
kuanzisha jurasic park ?? yan wale dinosaria wazima au? kama ni kuenzi site hizo mbona tayari makumbusho ya taifa wameshaanza kaz huko hata ukipita mnaz mmoja unakuta sanamu la la t rex. mjusi kurudi ngum hata facilities za kumhifadh hatuna.labda wawape cast yake ya kisasa kabisa like real dinosa. na hata kule walipopata mifupa mbona researchers wapo
 
Labla ana maanisha hii
View: https://youtu.be/u3NTDZAD9_M?si=MyIeDVMcRph9FApB
 
Wewe ndo unatatizo la akili kama mifupa yao ya jamii zote za Dinasours ilipatikana duniani ni wazi jurassic park ilikuwepo

Hata hapa Tanzania mifupa yao ilipatikana na ipo ujerumani unashangaa nini wewe ndo unatatizo la akili
Unasema dinosaur wanaweza kurudishwa? Hebu kuwa makini na hayo maneno!Pia acha bangi kijana humu kuna watu wasomi

Hii sio sinema ya Jurassic Park! Kwanza kabisa, DNA ya dinosaur waliokufa zaidi ya milioni 65 iliyopita imeharibika kabisa—hiyo teknolojia ya kurudisha viumbe wa kale bado haijafikia kiwango hicho. Hata hizo samples za DNA zinazopatikana kwenye fossils sio mifupa halisi ni vipande vidogo visivyotosha kutengeneza kiumbe hai. Dna nying zimekufa

Robert na hata kama tungesemekana tunaweza kutumia teknolojia kama CRISPR kuchanganya DNA ya dinosaur na ya ndege au mamba wa kisasa, bado tungekuwa hatujui kabisa tabia zao, mazingira yao, au jinsi ya kuwalea bila hatari. Hiyo ni sayansi ya kubahatisha tu, siyo reality. So hiyo kitu unachosema ni bangi mbichi

Kwa kifupi, kurudisha dinosaur ni ndoto za bangi zako acha mara moja pia jaribu kwanza kuwa mwenyekiti wa kijiji kwanza
 
Leo rais Shughuru kaja kivingine kabisa. Msemaji wake mkuu Evelyn Salt sijui yuko wapi aje asaidie kunyosha maelezo huku. Na wakazi wa kisiwa cha Mafia wajiandae kuhama kupisha dinosaurs Shughuru akichukua nchi 😂😂😂
Hii inaweza kutukumbuka mpk tanganyika tuambiwe mashimo yote yaliyokwisha kuchimbwa dhahabu yawe mapango ya Dino...na sehemu ya kenge na mamba kutagia
 
Back
Top Bottom