Njoo nikutunuku Mume wako nipo Wewe unapishana nae kwenye cordo za JF Ila tu sharti ni 1 usije na huyo mtoto uliembeba mgongoni mrudishe kwa Baba yake halafu Wewe uje Wewe km Wewe maana kuzilea sperm za Wanaume wengine ni kujishughulisha kwingine na Mimi sitaki kujishughulisha namna hioKujishugulisha kumenikosesha mume
Kwa nn sasa hutaki mtoto wakati atakuita babaNjoo nikutunuku Mume wako nipo Wewe unapishana nae kwenye cordo za JF Ila tu sharti ni 1 usije na huyo mtoto uliembeba mgongoni mrudishe kwa Baba yake halafu Wewe uje Wewe km Wewe maana kuzilea sperm za Wanaume wengine ni kujishughulisha kwingine na Mimi sitaki kujishughulisha namna hio
Baba tena wakati Baba ni mwingine? Wewe njoo tuanze na 1Kwa nn sasa hutaki mtoto wakati atakuita baba
Bas haka ka junia tukaueBaba tena wakati Baba ni mwingine? Wewe njoo tuanze na 1
Hahaha tusikau hivyo ni unyanyasaji wa watoto tukapeleke kwa Bibi yakeBas haka ka junia tukaue
Sawa nitafanya hivyoHahaha tusikau hivyo ni unyanyasaji wa watoto tukapeleke kwa Bibi yake
Haya sawa ukishafanya hivyo uje PM tuyajengeSawa nitafanya hivyo
Ndio mahandsome boysWa hivi wananiogopesha.
Tatizo hujui korogwe ipi punguza kukurupuka30 unatafuta mke mtandaoni, Tanzania, mjasiriamali, tena upo korogwe,,,aaaanh ndugu yangu. Jambo la kheri kutafuta mke mwema. Ila unampata kwa characters zako chache tu ulizozitaja, huku tutakukatisha tamaa.
Upo korogwe ya botswana?Tatizo hujui korogwe ipi punguza kukurupuka
No thank you
Nipe nafasiNo thank you
we mbona kama umekosea nambaNipe nafasi
Naamini hutojutia mimi kuwa wako!!!!
Daahwe mbona kama umekosea namba
umesamehewa 😂Daah
Samahani nilikuwa usingizini
Hao sitaki wengi wasumbufu.Ndio mahandsome boys
Njoo kwangu upate furaha bbyHao sitaki wengi wasumbufu.