Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Panda Super Feo, nenda Songea wakina Mzee Nyoni,komba,mapunda,ndunguru wana mabinti wazuri utampata mwenye vigezo unavyotaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani akiwa na hela?Sema hili nalo neno ,Je akiwa na hera😢
Hahahaha 😂😂😂 hebu tulia wewAcha miyeyusho wewe 😆😆😆
Hiyo Warumi Imekuwaje tenaaaHahahaha 😂😂😂 hebu tulia wew
Shekhe unanchokoza 🤣Hiyo Warumi Imekuwaje tenaaa
Mke wa mtu (Single Maza)Nani akiwa na hela?
Hio code km hauelewi hauelewiHiyo Warumi Imekuwaje tenaaa
Watoto kibao wanatafuta wa kuwakamatia wamejaa hapo Mbezi huyu mwamba anakwama wapi awacheck bodaboda hapo basi wampe ramaniKweli mkuu uanzie kibo, kona, baruti, bucha, korogwe mpaka kimara mwisho ukose? Nawaambiaga mjichanganye viwanja hamtaki, sasa ww ukitoka job unakimbilia geto kusikiliza subwoofer, njoo hata utafune kitimoto baruti hapa uoshe macho.
Sema turundike tuHahahaha nmecheka jamani 😂😂😂😂 acha ujinga wew
Nimemshangaa ujue, huyu ni wale huoa kwa meseji, halafu yakimshinda anaanza kuwalaumu wanawake wote, aache uoga, yani anajua kuandika kwa keyboard ila domo full concreteWatoto kibao wanatafuta wa kuwakamatia wamejaa hapo Mbezi huyu mwamba anakwama wapi awacheck bodaboda hapo basi wampe ramani
Warumi code yenu hio mnaulizana Warumi Warumi Warumi wamekufanyaje?Shekhe unanchokoza 🤣
Ngoja nikasome andikoWarumi 5:8,,tuharibu uzi wa wenyewe
Ctrl V hapaNgoja nikasome andiko
Labda kama huyu jamaa anataka kulelewa.Mke wa mtu (Single Maza)
😁😁😁Press ikupeleke google Moja Kwa mojaLi
Ctrl V hapa
Afu na vidonda😄Labda kama huyu jamaa anataka kulelewa.
Mwanaume huwezi kujishusha uanaume wako kufuata hela za mwanamke tena single Maza.
Huu ni udhaifu mkubwa sana hata huyo mwanamke atakuona wewe boya tu.
Kwanza unaanzaje kulea mabao ya wanaume wenzako??