Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

Ntafuta mke mwema asizidi miaka 33

Panda Super Feo, nenda Songea wakina Mzee Nyoni,komba,mapunda,ndunguru wana mabinti wazuri utampata mwenye vigezo unavyotaka.
 
Tiiv. Kwahiyo mtafunga ndoa, then ndiyo muanze kupendana 😍mkiwa ndani?😥
 
Kweli mkuu uanzie kibo, kona, baruti, bucha, korogwe mpaka kimara mwisho ukose? Nawaambiaga mjichanganye viwanja hamtaki, sasa ww ukitoka job unakimbilia geto kusikiliza subwoofer, njoo hata utafune kitimoto baruti hapa uoshe macho.
Watoto kibao wanatafuta wa kuwakamatia wamejaa hapo Mbezi huyu mwamba anakwama wapi awacheck bodaboda hapo basi wampe ramani
 
Watoto kibao wanatafuta wa kuwakamatia wamejaa hapo Mbezi huyu mwamba anakwama wapi awacheck bodaboda hapo basi wampe ramani
Nimemshangaa ujue, huyu ni wale huoa kwa meseji, halafu yakimshinda anaanza kuwalaumu wanawake wote, aache uoga, yani anajua kuandika kwa keyboard ila domo full concrete
 
Mke wa mtu (Single Maza)
Labda kama huyu jamaa anataka kulelewa.

Mwanaume huwezi kujishusha uanaume wako kufuata hela za mwanamke tena single Maza.

Huu ni udhaifu mkubwa sana hata huyo mwanamke atakuona wewe boya tu.

Kwanza unaanzaje kulea mabao ya wanaume wenzako??
 
A

Afu na vidonda😄
 
Back
Top Bottom