Ntajuaje kampuni ya ukandarasi kama imesajiliwa na board ya ukandarasi

Ntajuaje kampuni ya ukandarasi kama imesajiliwa na board ya ukandarasi

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habar wakuu nataka kujua Kuna kampuni nataka kufanya nayo kazi ntajuaje hii kampuni imesajiliwa na board ya wakandarasi
 

Hiyo ni list ya Active contractors. Ingiza jina hapo utanikuta. Lakini pia akupe risiti ya kulipia ada ya uanachama kwa mwaka 2024 kujiridhisha kama yupo Active kweli
 
Back
Top Bottom