Ntakukumbuka Mzee Kilomoni, elimu ndogo ila akili za kutosha. Mo bado hajaweka pesa zetu

Mchakato wa club transformation ulisema hivyo? Kwanini asiweke hyo pesa then board of directors na management ndio waamue kuwekeza kwenye bonds au vitu vingine vyenye masilahi? Yeye mo anajipangiaje pesa ya uwekezaji aliyopaswa kuitoa?
Mzee hili aliliongea kabla ya mchakato na kipindi mchakato unaendelea so makubaliano yaliyopo kwenye mkataba yapo hivyo. Pili Mo katumia pesa yake nyingi pale simba hakuna mtanzania yeyote ambae yuko radhi kutumia pesa kiasi anachotumia Mo, wewe ulipo hapo unaishi kwa shemeji yako huna hata uwezo wa kujilisha halafu unampigia kelele Mo, simba na yanga wakijitoa Mo na GSM zinarudi zilipotoka
 
Furaha ya shabiki ni ushindi na mpira mzuri kwenye pitch.

Najua wewe ni shabiki wa utopolo lialia ila kuna wenzako ambao kidogo dish limeyumba wako simba wanakuwa na akili kama zako. Watu wanaweka pesa usajili unaonekana, pre season inaonekana, camp inaonekana, mishahara kwa wachezaji etc halafu mtu oya oya anasema hatutaki fulani awepo au kuna wewe anauliza 20B hazijawekwa.

Yaani unataka kuniambia kwenye hizo pesa zinazokusanywa anachukua MO Pekee?
La mwisho hebu tupe hicho kiasi cha pesa timu inatakiwa/ilitakiwa kupata with credible figures kutoka kwa hao wadhamini waliopita na kiasi cha fedha ambacho walikipata kutoka maeneo mbalimbali.
 
Hivi ww ndo wa kuhoji B 20 ipo wapi... kwanini usihoji timu inajiendeshaje ili ujue source yake?
 
Hivi ww ndo wa kuhoji B 20 ipo wapi... kwanini usihoji timu inajiendeshaje ili ujue source yake?
Sisi mashabiki halisi wa simba tunataka bilioni 20 zetu! Hatutaki maelezo ya timu kujiendesha, wala nini!

Na mkikataa kutuonesha bilioni 20 zetu, tunaandamana mpaka kwa Mzee Kilomoni ili kumshinikiza kuirudisha timu mikononi mwa mashabiki.

Mashabiki tumechoshwa na janja janja za mwekezaji.
 
Kila goti litapigwa kwa Club kubwa Simba,naona watopolo mnaitamani sana Simba,karibuni msijekufa kwa sonona huko Yanga
 
Kabisa mkuu, hongera.
 
Uchawi pesa.
Akili fupi tu unalilia kuhoji 49% lakini hautaki kuhoji kwa nini mtu huyo huyo anatoa pesa za kuendeshea timu.
Huyo mzee alikuwepo siku zote,alifanya nini la maana timu ilipokwama kifedha ?
 
Mo dewj anavuna faida pale simba, angalia jezi ya simba ina nembo zake ngapi? Mo dej kumuhusisha na simba kwa namna yoyote kwake ni faida sana. Kwanini akwepa jukumu lake la msingi? Hyo pesa ataiweka lini?
 
Inakusaidia nn kam timu inafanya vzr na mmasajili shida nn Babu tajiri akiweka pesa sehemu tulia babu mbn hata ulaya tunaona Liverpool ikiuzwa ila hkn kelele kwa shabiki
 
Aliye kuelea lzm atakuwa amesoma Cuba nimekuwekea Sana tate
 
Inakusaidia nn kam timu inafanya vzr na mmasajili shida nn Babu tajiri akiweka pesa sehemu tulia babu mbn hata ulaya tunaona Liverpool ikiuzwa ila hkn kelele kwa shabiki
Braza timu inaibiwa mchana kweupe na muhindi, kama ni ushindi simba haijaanza kushinda leo. Mo dewj amezaliwa kaikuta simba... ina maana huko nyuma simba ilikua haishindi?
 
Mo dewj anavuna faida pale simba, angalia jezi ya simba ina nembo zake ngapi? Mo dej kumuhusisha na simba kwa namna yoyote kwake ni faida sana. Kwanini akwepa jukumu lake la msingi? Hyo pesa ataiweka lini?
Unaweza kusema amevuna kiasi gani mpaka sasa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…