SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wapuuzi wa Utopolo mnapongezana upuuzi wenuNi huzuni kuu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi wa Utopolo mnapongezana upuuzi wenuNi huzuni kuu sana.
Mzee hili aliliongea kabla ya mchakato na kipindi mchakato unaendelea so makubaliano yaliyopo kwenye mkataba yapo hivyo. Pili Mo katumia pesa yake nyingi pale simba hakuna mtanzania yeyote ambae yuko radhi kutumia pesa kiasi anachotumia Mo, wewe ulipo hapo unaishi kwa shemeji yako huna hata uwezo wa kujilisha halafu unampigia kelele Mo, simba na yanga wakijitoa Mo na GSM zinarudi zilipotokaMchakato wa club transformation ulisema hivyo? Kwanini asiweke hyo pesa then board of directors na management ndio waamue kuwekeza kwenye bonds au vitu vingine vyenye masilahi? Yeye mo anajipangiaje pesa ya uwekezaji aliyopaswa kuitoa?
Sisi mashabiki wa simba tuna uchungu sana na timu yetu 😩[emoji1787][emoji1787]kumbe mmejaa yanga kuulizia hela za simba ...pambaneni na hali yenu
Furaha ya shabiki ni ushindi na mpira mzuri kwenye pitch.Timu ina udhamini wa billions kutoka meridian bet, zamani walikuepo sports pesa, je pesa zilienda wapi?
Unajua timu ilipofika hatua ya mtoano mwaka jana ilivuna bilioni ngap?
Je unajua get collections ya mwaka jana tulipata kiasi gani? Je unajua kua Mo anajitangaza yeye na biashara zake kupitia simba? Unajua thamani ya kukaa kwenye jezi? Bas acha...
Mkuuu acha utopolo wako yaan ww leo unataka tugombane wana simba wakati ww ni utopolo lia liaSisi mashabiki wa simba tuna uchungu sana na timu yetu [emoji30]
Yote kwa yote nabi out aondoke atuachie timu yetu sisi wanayanga tumemchoka
Sisi mashabiki halisi wa simba tunataka bilioni 20 zetu! Hatutaki maelezo ya timu kujiendesha, wala nini!Hivi ww ndo wa kuhoji B 20 ipo wapi... kwanini usihoji timu inajiendeshaje ili ujue source yake?
Kila goti litapigwa kwa Club kubwa Simba,naona watopolo mnaitamani sana Simba,karibuni msijekufa kwa sonona huko YangaSisi mashabiki halisi wa simba tunataka bilioni 20 zetu! Hatutaki maelezo ya timu kujiendesha, wala nini!
Na mkikataa kutuonesha bilioni 20 zetu, tunaandamana mpaka kwa Mzee Kilomoni ili kumshinikiza kuirudisha timu mikononi mwa mashabiki.
Mashabiki tumechoshwa na janja janja za mwekezaji.
Kabisa mkuu, hongera.Sisi mashabiki halisi wa simba tunataka bilioni 20 zetu! Hatutaki maelezo ya timu kujiendesha, wala nini!
Na mkikataa kutuonesha bilioni 20 zetu, tunaandamana mpaka kwa Mzee Kilomoni ili kumshinikiza kuirudisha timu mikononi mwa mashabiki.
Mashabiki tumechoshwa na janja janja za mwekezaji.
Uchawi pesa.Mzee kilomoni ulihoji, wakatengeneza zengwe, ila ulisimama kidete kutetea timu na masilahi yake.
Wapo vijana wanajiita wasomi wa vyuo vikuu, hawataki kuhoji, kuuliza wala kufukiri... tunataka kujua asilimia 49% za mwekezaji, pesa ipo wapi?
Kwanini wanakua wakali ukihoji? Kwanini huyu 'kanjibahi' anakua mkali ukihoji pesa? Jamani kwa namna hii tunatofautiana vipi na chief Magungo wa Msovero?
Mo dewj anavuna faida pale simba, angalia jezi ya simba ina nembo zake ngapi? Mo dej kumuhusisha na simba kwa namna yoyote kwake ni faida sana. Kwanini akwepa jukumu lake la msingi? Hyo pesa ataiweka lini?Uchawi pesa.
Akili fupi tu unalilia kuhoji 49% lakini hautaki kuhoji kwa nini mtu huyo huyo anatoa pesa za kuendeshea timu.
Huyo mzee alikuwepo siku zote,alifanya nini la maana timu ilipokwama kifedha ?
Inakusaidia nn kam timu inafanya vzr na mmasajili shida nn Babu tajiri akiweka pesa sehemu tulia babu mbn hata ulaya tunaona Liverpool ikiuzwa ila hkn kelele kwa shabikiMzee kilomoni ulihoji, wakatengeneza zengwe, ila ulisimama kidete kutetea timu na masilahi yake.
Wapo vijana wanajiita wasomi wa vyuo vikuu, hawataki kuhoji, kuuliza wala kufukiri... tunataka kujua asilimia 49% za mwekezaji, pesa ipo wapi?
Kwanini wanakua wakali ukihoji? Kwanini huyu 'kanjibahi' anakua mkali ukihoji pesa? Jamani kwa namna hii tunatofautiana vipi na chief Magungo wa Msovero?
Aliye kuelea lzm atakuwa amesoma Cuba nimekuwekea Sana tateMungu ambariki Mzee Kilomoni! Hakika alipigania sana maslahi ya timu yetu ya simba! Ona mpaka sasa hata hatujui zile bilioni 20 za mwekezaji wetu zilipo!
Ukihoji, unaonekana mbaya! Unaishia tu kutukanwa matusi ya kila aina na vibaraka wa mwekezaji! Hili jambo halikubliki hata kidogo!
Mzee Kilomoni, rudi Klabuni uje uokoe jahazi kabla halijazama. Hata kwa kupitia mapinduzi, bado tutakuunga mkono.
Braza timu inaibiwa mchana kweupe na muhindi, kama ni ushindi simba haijaanza kushinda leo. Mo dewj amezaliwa kaikuta simba... ina maana huko nyuma simba ilikua haishindi?Inakusaidia nn kam timu inafanya vzr na mmasajili shida nn Babu tajiri akiweka pesa sehemu tulia babu mbn hata ulaya tunaona Liverpool ikiuzwa ila hkn kelele kwa shabiki
Unaweza kusema amevuna kiasi gani mpaka sasa ?Mo dewj anavuna faida pale simba, angalia jezi ya simba ina nembo zake ngapi? Mo dej kumuhusisha na simba kwa namna yoyote kwake ni faida sana. Kwanini akwepa jukumu lake la msingi? Hyo pesa ataiweka lini?