Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHUMA ICHO MTUMBA NJOO TUKUTAFUTIE APA KARIAKOO SISI TUNAJUA WAPI TUTAIKUTA IYOHivi hakuna maduka yanayouza motherboard mpya kwa hapa dar?
used huwa kuna machine zinatoka nje zitakua labda zimepasuka kioo au betri mbovu so huwa ndo ila boad nzima yaan km machine ni mtumba km iyo yako inatakiwa boad mtumba km iyoInakua ni mpya au used kutoka kwenye machine nyingine?
iyo ni corei3??? ikiwepo unapata ata kwa 90/lakBei yake inasimama shingapi?
Hiyo ni dual mzee, halafu kama bei yake ni inacheza kwenye namba hatarishi kama hizo unantisha maana hiyo 190k unaipata mpyaiyo ni corei3??? ikiwepo unapata ata kwa 90/lak
Housing ya HP ENVY inch 15.5 naweza.kupata kwa pesa ngapiyo ni corei3??? ikiwepo unapata ata kwa 90/lak
amna atuna mpka kutafuta au tuulizie sehemu boss ila haiwezi kuvuka lak na nusu na je unataka mpka ya kioo au chini tu
Huwezi pata motherboard mpya ya pc ya zamani hvo. Utapata mtumba au refurbished. Test kma inafanya kazi na angalia kma haija chomelewa nyaya au kubadilishwa chips na hutakuwa na shida yoyoteInakua ni mpya au used kutoka kwenye machine nyingine?
km dual hata 50 unapataHiyo ni dual mzee, halafu kama bei yake ni inacheza kwenye namba hatarishi kama hizo unantisha maana hiyo 190k unaipata mpya
Hii mi naitaka kuifufua kwa fact moja tu, sauti yake ni very strong ina miezi kadhaa nimeiweka kabatini tu baada ya kupiga shoti
boss mtumba ndio vyuma uliza apa kariakoo watu wanavyoangaika na vya dukani havitaki matumizi ya mda mrefu hasa sabufa ni shidah sema huo mtumba asinunue kwa mtu kuna pc za mtumba kutoka nje na ndo nyingi apa kariakoo mana akisema ya kwenye box aandae lak 7 mpaka mil ataweza kwel izo wananunua wazungu apa townJichange ukanunue mpya hapo utapata motherboard mtumba na itapiga shoti tena,mavitu ya mtumba sio.
Mkuu nimekupata vizuri.boss mtumba ndio vyuma uliza apa kariakoo watu wanavyoangaika na vya dukani havitaki matumizi ya mda mrefu hasa sabufa ni shidah sema huo mtumba asinunue kwa mtu kuna pc za mtumba kutoka nje na ndo nyingi apa kariakoo mana akisema ya kwenye box aandae lak 7 mpaka mil ataweza kwel izo wananunua wazungu apa town
Mfuniko wa nyuma tuamna atuna mpka kutafuta au tuulizie sehemu boss ila haiwezi kuvuka lak na nusu na je unataka mpka ya kioo au chini tu
basi ata 20/30 unapata
Ukipata nistuebasi ata 20/30 unapata
Mfuniko wa chini na wajuu kwenye keyboard maana nati hazishiki ni hilo tu.basi ata 20/30 unapata
apo inapigwa stiker ya inarudi rangiMfuniko wa chini na wajuu kwenye keyboard maana nati hazishiki ni hilo tu.
Nyuma ya screen hauna shida ila umechoka rangi imepauka