Ntapata wapi motherboard ya HP Compaq 6710b

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Isiwe na kasoro yeyote

images.jpeg
 
Hivi hakuna maduka yanayouza motherboard mpya kwa hapa dar?
 
Inakua ni mpya au used kutoka kwenye machine nyingine?
used huwa kuna machine zinatoka nje zitakua labda zimepasuka kioo au betri mbovu so huwa ndo ila boad nzima yaan km machine ni mtumba km iyo yako inatakiwa boad mtumba km iyo
 
Bei yake inasimama shingapi?
 
iyo ni corei3??? ikiwepo unapata ata kwa 90/lak
Hiyo ni dual mzee, halafu kama bei yake ni inacheza kwenye namba hatarishi kama hizo unantisha maana hiyo 190k unaipata mpya

Hii mi naitaka kuifufua kwa fact moja tu, sauti yake ni very strong ina miezi kadhaa nimeiweka kabatini tu baada ya kupiga shoti
 
Inakua ni mpya au used kutoka kwenye machine nyingine?
Huwezi pata motherboard mpya ya pc ya zamani hvo. Utapata mtumba au refurbished. Test kma inafanya kazi na angalia kma haija chomelewa nyaya au kubadilishwa chips na hutakuwa na shida yoyote
 
Hiyo ni dual mzee, halafu kama bei yake ni inacheza kwenye namba hatarishi kama hizo unantisha maana hiyo 190k unaipata mpya

Hii mi naitaka kuifufua kwa fact moja tu, sauti yake ni very strong ina miezi kadhaa nimeiweka kabatini tu baada ya kupiga shoti
km dual hata 50 unapata
 
Jichange ukanunue mpya hapo utapata motherboard mtumba na itapiga shoti tena,mavitu ya mtumba sio.
 
boss mtumba ndio vyuma uliza apa kariakoo watu wanavyoangaika na vya dukani havitaki matumizi ya mda mrefu hasa sabufa ni shidah sema huo mtumba asinunue kwa mtu kuna pc za mtumba kutoka nje na ndo nyingi apa kariakoo mana akisema ya kwenye box aandae lak 7 mpaka mil ataweza kwel izo wananunua wazungu apa town
 
Mkuu nimekupata vizuri.
 
Back
Top Bottom