Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Nteze John Lungu Shavu Huyu Mchezaji alikuwa mahiri sana kwa kufunga magori katika timu za Pamba ya Mwanza na Simba ya Dar es salaam, Pichani hapo yupo na Binti yake wakifurahia maisha baada ya Kuishi sana Tanzania anaishi zake Marekani huku akiwa na Afya Njema... Raisi Kikwete anahitaji kumpanishani watu kama hawa ambao kiasi fulani waliiletea sifa nchi katika fani ya Soccer... kwani alifunga goli murua nchini kenya na Tukawa mabingwa wa Challenge miaka ya Tisini....
Safi Sana Nteze Tunza Binti ila ukimleta Bongo wakina Gang Chomba sijui kama watamuacha....
Last edited by a moderator:
