Nteze John Lungu Shavu Dodo Baada ya Soccer Maisha Marekani.

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825
1000688_10201564856105945_1415003381_n.jpg

Nteze John Lungu Shavu Huyu Mchezaji alikuwa mahiri sana kwa kufunga magori katika timu za Pamba ya Mwanza na Simba ya Dar es salaam, Pichani hapo yupo na Binti yake wakifurahia maisha baada ya Kuishi sana Tanzania anaishi zake Marekani huku akiwa na Afya Njema... Raisi Kikwete anahitaji kumpanishani watu kama hawa ambao kiasi fulani waliiletea sifa nchi katika fani ya Soccer... kwani alifunga goli murua nchini kenya na Tukawa mabingwa wa Challenge miaka ya Tisini....

Safi Sana Nteze Tunza Binti ila ukimleta Bongo wakina Gang Chomba sijui kama watamuacha....
 
Last edited by a moderator:
hah hah hah Mlaleo umenichekesha sana...
kwa hiyo umeniona mimi nafanana na Super Pipo?
Kwamba nikizikuta tu zinakunywa maji basi nazipitia...
Mtaalam wa mipira hiyo ni Companero
 
ukilinganisha na wachezaji wa sasa nteze unaweza sema kiwango chake ni kama demba ba au papis cisse
 
1000688_10201564856105945_1415003381_n.jpg

Nteze John Lungu Shavu Huyu Mchezaji alikuwa mahiri sana kwa kufunga magori katika timu za Pamba ya Mwanza na Simba ya Dar es salaam, Pichani hapo yupo na Binti yake wakifurahia maisha baada ya Kuishi sana Tanzania anaishi zake Marekani huku akiwa na Afya Njema... Raisi Kikwete anahitaji kumpanishani watu kama hawa ambao kiasi fulani waliiletea sifa nchi katika fani ya Soccer... kwani alifunga goli murua nchini kenya na Tukawa mabingwa wa Challenge miaka ya Tisini....

Safi Sana Nteze Tunza Binti ila ukimleta Bongo wakina Gang Chomba sijui kama watamuacha....

Nteze alikuwa makini sana na ni mchezaji wa kweli si hawa kina Ngassa na majanga wengine waliopo Stars kwani muda umefika kuwaweka ndani ya break down na kuwatumbukiza bahari ya Hindi, Enough is enough.
 
Marekani anafanya nini Mlaleo?
 
Last edited by a moderator:
Nteze uliitumikia Tanzania(Stars) kwa moyo wako wote na nguvu zako zote, nafarijika sana nikiona wachezaji kama hawa wakiwa na maisha mazuri.
 
Marekani anafanya nini Mlaleo?
Ni mchungaji sijui wa kanisa gani.

Mchungaji Nteze John Lungu aliyekuwa mchezaji wa timu ya Pamba ya Mwanza na Simba Sports Club ya Dar es Salaam akiongoza ibada maalum ya Kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State
 
Mungu azidi mmbariki katika kazi yake hiyo
 
Safi sana, Nteze John alifunga kwenye mashindao yaliyofanyika Kenya mwaka 1994, nahodha wa timu ya Taifa alikuwa kiungo mahiri Hussein Aman Masha..daah ilikuwa safi sana.
1000688_10201564856105945_1415003381_n.jpg

Nteze John Lungu Shavu Huyu Mchezaji alikuwa mahiri sana kwa kufunga magori katika timu za Pamba ya Mwanza na Simba ya Dar es salaam, Pichani hapo yupo na Binti yake wakifurahia maisha baada ya Kuishi sana Tanzania anaishi zake Marekani huku akiwa na Afya Njema... Raisi Kikwete anahitaji kumpanishani watu kama hawa ambao kiasi fulani waliiletea sifa nchi katika fani ya Soccer... kwani alifunga goli murua nchini kenya na Tukawa mabingwa wa Challenge miaka ya Tisini....

Safi Sana Nteze Tunza Binti ila ukimleta Bongo wakina Gang Chomba sijui kama watamuacha....
 
Kuna Jamaa mmoja anaitwa Nyanga anadai alisoma nae Shinyanga...
 
Huyu jamaa ule mguu wake wa kushoto ulikuwa baraa,kwa kweli alikuwa na kipaji cha uhakika.
 
Namkumbuka, Nteze alikua balaa guu lake la kushoto...:A S crown-1:
 
huyu alikua swahiba wa bro wangu mchezaji wa YANGA ambaye sasa yupo bongo
 
Pia alitupa Kombe la Castle taifa pale tuliwafunga Kenya,gori la ushindi lilifungwa na Salvatory Edward Agostino aka Dr
 
Lile goli alilofunga Wakenya pale Kirumba halitasahaulika!!
 
Nteze john safi njoo tz upige hela huku wachungaji ni ma-billionea!
 
Back
Top Bottom