Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?

2D3A401D-F2FD-46E8-8A50-70F895438ED7.jpeg


310572D1-8EFF-42BF-AD8C-C21FD5F95993.jpeg
 
Wanaendesha timu kienyeji, wanachojua wao ni kusajili kwa kelele tu, baada ya hapo kimya, utasikia mchezaji fulani hajalipwa mshahara, mara wengine wanalalamika wamesuswa hawalishwi vinono kama wachezaji wanaotoka nje.

Yanga waache wenge la kulazimisha kufanana na Simba, watulie wapange mambo yao klabuni kwanza, baada ya hapo ndio wajiulize kwanini Simba iko nafasi ya 12 Afrika wakati wao wako nafasi ya 88.
 
Wanaendesha timu kienyeji, wanachojua wao ni kusajili kwa kelele tu, baada ya hapo kimya, utasikia mchezaji fulani hajalipwa mshahara, mara wengine wanalalamika wamesuswa hawalishwi vinono kama wachezaji wanaotoka nje...
Hiyo nafasi ya 88 wamefika lini ?? .. wapo nafasi ya 175 kama sijakosea .. [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom