Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Kwamba Nyalandu kweli alipigwa chini? Huyu ntobi kuomba kwake radhi ilibidi iwe kwa kujiudhuluMwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga, Ntobi, ameomba radhi kufuatia kauli aliyotoa kuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu. Ntobi ameeleza kuwa kauli hiyo ilisababisha mjadala mkali usio na afya ndani ya chama.
View attachment 3180766
"Ni wazi kwamba nilihamanika tu," alisema Ntobi. "Naomba radhi sana kwa Chama, wanachama, viongozi wa ngazi mbalimbali, Watanzania, na kwa bosi wangu, Tundu Lissu."
Soma, Pia: Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda
Ntobi amesisitiza kuwa anawajibika kwa makosa yake na ameonyesha masikitiko makubwa kwa kauli hiyo. “I’m deeply sorry,” alihitimisha.
View attachment 3180765
Tweets zenye baadhi ya kauli za Ntobi kuhusu Tundu Lissu
View attachment 3180767
View attachment 3180770
View attachment 3180773View attachment 3180774View attachment 3180775View attachment 3180776