Pre GE2025 Ntobi aomba radhi kwa kauli zake kuhusu Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba Nyalandu kweli alipigwa chini? Huyu ntobi kuomba kwake radhi ilibidi iwe kwa kujiudhulu
 
Mnara wa babeli
 
Huyo jamaa inatakiwa ajiuzulu mara moja inaonyesha hatoshi Kwenye hiyo nafasi
 
Tunasubiri watuletee mropokaji mwingine 2025. Imeshakaa kwenye redi hiyo mwambieni twawasibiri 2025. Kiti cha ubunge watapata vitatu na madiwani sita 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kafuta kauli yeye, sisi hatufuti vichwani mwetu
 
Ajue maneno yake hayo yatakuwa kumbukumbu kwa siku zijazo. Na hasa kama atapenda kuendelea na uongozi.
 
Huwezi ukawa na akili timamu ukawa kwenye chama Cha punda kama hawa
 
Ntobi ni msanii tu kama diamond,,,ameshatoa povu alaf anakuja kuomba radhi ya kinafiki.yani utoe kashfa zaidi ya mara mbili then uje kuomba radhi,,,,CHADEMA KUNA WAHUNI WENGI TU NA SASA WAMEANZA KUJULIKANA
 
Mtu anaeomba msamaha kwa shinikizo haombi msamaha wa kweli...nafsi Ina Amin tofauti na anachotaka tuamini..siamini msamaha wake ntobi kbs nikirudia kusoma alichoandika..kashinikizwa TU.. ni Mungu TU ndo anaona ndani yake anachomaanisha."eti kuhamanika TU"...
 
Hata iweje huwezi kuandika maneno ya hivi?...huyu mtoto Lofa sana...
 
Kuna kuteleza katika siasa ni kama vile yeye Lissu alivyoteleza wakati anatangaza nia yake ya uutaka uwenyekiti.
Wote wasamehewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…