ni hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya Kijamii.
Akizungumza ma JamboTv Usiku huu (Januari 09, 2025) Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la CHADEMA Kanda ya Serengeti Lucas Ngoto ameiambia JamboTv kuwa maamuzi hayo ya Kikao yamefikiwa Kisheria ikiwa ni mara baada ya kumpa fursa ya kuweza kujitetea dhidi ya kauli na maandiko yake kadhaa yasiyokuwa na utu na heshima kwa Viongozi wa Chama Taifa.
Ntobi ambaye pia mwaka 2023 aliwahi kusimamishwa Uenyekiti wake kwa mwaka mmoja kutokana na makosa ya kinidhamu, amejitanabaisha mitandaoni kama muungaji mkono na Mpiga kampeni kwaajili ya Mhe. Freeman Mbowe kuweza kurejea tena madarakani kama Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amekuwa na mfululizo wa maandiko kadhaa, yenye nia ya kumchafua, kumtweza na kumtusi Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Tundu Lissu ambaye pia ni Mshindani na mgombea mwenza wa Mhe. Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti wa Chadema taifa kwenye uchaguzi utakaofanyika baadae mwezi huu.
Miongoni mwa kauli zake ni pamoja na kumuita Makamu mwenyekiti huyo kuwa Mropokaji, Mmbea, sambamba na kumtuhumu kufadhili na kuunda kikosi kilichokuwa kinatumia jina la "Sauti ya Wananchi" akishirikiana na watu maarufu mtandaoni na maafisa wa CCM, idara ya usalama wa taifa na Diaspora kwaajili ya kumfitini Mhe. Mbowe
Aidha Ntobi amekuwa akimuhusisha na baadhi ya matendo yasiyofaa kimaadili kupitia maandikio yake akimuhusisha na "Mzungu" hasa pale Mhe. Lissu anapokuwa safarini nje ya nchi kama " Soon ataweka wazi faragha za Mzungu wake" pamoja na "Si tuliwaambia jamaa yenu kakimbilia kwa mtasha wake? kiko wapi?", mwisho wa kunukuu
Haahaa Kwa hiyo kura ya mbowe imepungua? Kiukweli jamaa ni mweupe kichwani Hana kitu, Sijui wslimpaje uongozi.

Sijawahi kumsikia lissu akimtukana mbowe kamwe , kama una ushahidi weka hapa, Ntobi alikuwa anaenda live kumtweza lissu kumuita mropokaji, msanii, nkni hatu nzuri na muhimu mno,
Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana π
Mbowe kafanyaje mkuu?Pia itumike kumtimua Mbowe.
Yaani kupitia Ntobi nikawa nawaza chadema wakishindwa wapi?Afadhali, huyu mtu alikuwa anatuabisha sana sisi Wasukuma.
Hio ni hatua mbaya, acha kuwa kipofu timing ni mbayani hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,
Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana,
ili iwe fundisho kwa wasaliti na waropokaji wengine kama hao π
Hawawezi jaribu hilo, ondoa hofu juu ya hilo.Unaweza kuta wanaandaa mazingira ya kuja kutaka kumvua Lissu uanachama. Tuwe makini sana.
utamsikiaje na hutaki kuskia?Sijawahi kumsikia lissu akimtukana mbowe kamwe , kama una ushahidi weka hapa, Ntobi alikuwa anaenda live kumtweza lissu kumuita mropokaji, msanii, nk
Mkiulizwa nyie CCM , Lissu kamtukana vipi Mbowe hamsemi.ni hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,
Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana,
ili iwe fundisho kwa wasaliti na waropokaji wengine kama hao π
kwahiyo unakiuka katiba sheria, kanuni na katiba ya chama kwasasabu ya timing?Hio ni hatua mbaya, acha kuwa kipofu timing ni mbaya
Jikite kwenye hoja ya msingi bila kumbwelambwela gentleman na itapendeza sana πMkiulizwa nyie CCM , Lissu kamtukana vipi Mbowe hamsemi.
Mbona nyie CCM hamkuchukulia hatua Nchimbi na wenzake 2015 mkasubiri mpaka uchaguzi uishe?.kwahiyo unakiuka katiba sheria, kanuni na katiba ya chama kwasasabu ya timing?
yaani timing inakufanya usichukuliwe hatua, right?
Basi hiyo taasisi itakua dhaifu sana na inawaogopa wanachama wake π
Nyinyi Ma CCM ndio mmetufikisha hapa tulipo, nchi imejaa Kila kitu lakini ni nchi masikini kuliko.Jikite kwenye hoja ya msingi bila kumbwelambwela gentleman na itapendeza sana π
Muulize nape na lusindeHicho ni chama cha siasa au chama cha matusi?