Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Pre GE2025 Ntobi avuliwa Uenyekiti Mkoa wa Shinyanga kutokana na utovu wa maadili na nidhamu dhidi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na Kamati Kuu ya Chadema ikumfuta Lissu uwanachama kwa makosa hayo hayo msije humu kuloloma kaonewa. Msumeno unakata kwa kwenda mbele na kurudi nyuma!
Hata kama mtu una akili ndogo, hiyo hiyo ndogo uitumie kwa umakini.

Ntobi amesimamishwa kutokana na lugha za matusi, Lisu hajawahi kumtukana mtu yeyote.

Wewe inaonekana hujaelewa hata kwa nini Ntobi amesimamishwa!!! Pole sana kwa uelewa mdogo. Rudia tena kuisoma mada, huenda utaelewa sababu za Ntobi kusimamishwa.
 
Chadema imejionyesha ni zaidi ya shithole kabisa, hawa sio wakuwapa nchi,sio lisu au DJ bora CCM waendelee tuu
 
Chadema imejionyesha ni zaidi ya shithole kabisa, hawa sio wakuwapa nchi,sio lisu au DJ bora CCM waendelee
 
Safi, bado mbowe...haiwezekani mtu ang'ang'anie madaraka kwa zaidi ya miaka 20 halafu mnamuangalia tuu!
 
Hata kama mtu una akili ndogo, hiyo hiyo ndogo uitumie kwa umakini.

Ntobi amesimamishwa kutokana na lugha za matusi, Lisu hajawahi kumtukana mtu yeyote.

Wewe inaonekana hujaelewa hata kwa nini Ntobi amesimamishwa!!! Pole sana kwa uelewa mdogo. Rudia tena kuisoma mada, huenda utaelewa sababu za Ntobi kusimamishwa.
Ahahahahaha!
 
gentleman,
ni muhimu ukawa mtulivu wa fikra,
naona unaweweseka na masuala ya taasisi nyingine kabisa isiyohusika dhidi ya hoja tofauti mno mezani.

Chukua point hiyo ya muhimu sana,
kwamba anaefuata ni mropokaji Tundu Lisu kuchukuliwa hatua za kinidhamu 🐒
Lissu kakosea nn ukilinganisha na Ntobi? Mambo yaliyofanywa na Ntobi yalikuwa yanamtia aibu mpaka mbowe, badala ya kujenga hoja yeye ni kejeli na kudhalilisha watu
 
Back
Top Bottom