Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Ntobi sidhani kama ana akili timamu!! Matamshi yake yanaashiria uwepo wa tatizo kubwa zaidi kichwani mwake. Sidhani kama anastahili kupewa nafasi yoyote ya uongozi.Vizuri sana, ila Ntobi alipaswa kufutwa uanachama kabisa kwa upumbavu wake