gentleman,Nyinyi Ma CCM ndio mmetufikisha hapa tulipo, nchi imejaa Kila kitu lakini ni nchi masikini kuliko.
Safi sana , Yeriko Nyerere nakuonya pia japo hukua umefikia atua ya Ntobi.
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya Kijamii.
Akizungumza ma JamboTv Usiku huu (Januari 09, 2025) Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la CHADEMA Kanda ya Serengeti Lucas Ngoto ameiambia JamboTv kuwa maamuzi hayo ya Kikao yamefikiwa Kisheria ikiwa ni mara baada ya kumpa fursa ya kuweza kujitetea dhidi ya kauli na maandiko yake kadhaa yasiyokuwa na utu na heshima kwa Viongozi wa Chama Taifa.
Ntobi ambaye pia mwaka 2023 aliwahi kusimamishwa Uenyekiti wake kwa mwaka mmoja kutokana na makosa ya kinidhamu, amejitanabaisha mitandaoni kama muungaji mkono na Mpiga kampeni kwaajili ya Mhe. Freeman Mbowe kuweza kurejea tena madarakani kama Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amekuwa na mfululizo wa maandiko kadhaa, yenye nia ya kumchafua, kumtweza na kumtusi Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Tundu Lissu ambaye pia ni Mshindani na mgombea mwenza wa Mhe. Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti wa Chadema taifa kwenye uchaguzi utakaofanyika baadae mwezi huu.
Miongoni mwa kauli zake ni pamoja na kumuita Makamu mwenyekiti huyo kuwa Mropokaji, Mmbea, sambamba na kumtuhumu kufadhili na kuunda kikosi kilichokuwa kinatumia jina la "Sauti ya Wananchi" akishirikiana na watu maarufu mtandaoni na maafisa wa CCM, idara ya usalama wa taifa na Diaspora kwaajili ya kumfitini Mhe. Mbowe
Aidha Ntobi amekuwa akimuhusisha na baadhi ya matendo yasiyofaa kimaadili kupitia maandikio yake akimuhusisha na "Mzungu" hasa pale Mhe. Lissu anapokuwa safarini nje ya nchi kama " Soon ataweka wazi faragha za Mzungu wake" pamoja na "Si tuliwaambia jamaa yenu kakimbilia kwa mtasha wake? kiko wapi?", mwisho wa kunukuu
Kwa kosa lipi? Kweli maccm ni mashirikinani hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,
Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana,
ili iwe fundisho kwa wasaliti na waropokaji wengine kama hao 🐒
ni muhimu kuzingatia hoja mahususi mezani gentleman,Mbona nyie CCM hamkuchukulia hatua Nchimbi na wenzake 2015 mkasubiri mpaka uchaguzi uishe?.
21/1 atarudishwa na waliomfukuza watamfata lissu Chauma
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya Kijamii.
Akizungumza ma JamboTv Usiku huu (Januari 09, 2025) Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la CHADEMA Kanda ya Serengeti Lucas Ngoto ameiambia JamboTv kuwa maamuzi hayo ya Kikao yamefikiwa Kisheria ikiwa ni mara baada ya kumpa fursa ya kuweza kujitetea dhidi ya kauli na maandiko yake kadhaa yasiyokuwa na utu na heshima kwa Viongozi wa Chama Taifa.
Ntobi ambaye pia mwaka 2023 aliwahi kusimamishwa Uenyekiti wake kwa mwaka mmoja kutokana na makosa ya kinidhamu, amejitanabaisha mitandaoni kama muungaji mkono na Mpiga kampeni kwaajili ya Mhe. Freeman Mbowe kuweza kurejea tena madarakani kama Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amekuwa na mfululizo wa maandiko kadhaa, yenye nia ya kumchafua, kumtweza na kumtusi Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Tundu Lissu ambaye pia ni Mshindani na mgombea mwenza wa Mhe. Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti wa Chadema taifa kwenye uchaguzi utakaofanyika baadae mwezi huu.
Miongoni mwa kauli zake ni pamoja na kumuita Makamu mwenyekiti huyo kuwa Mropokaji, Mmbea, sambamba na kumtuhumu kufadhili na kuunda kikosi kilichokuwa kinatumia jina la "Sauti ya Wananchi" akishirikiana na watu maarufu mtandaoni na maafisa wa CCM, idara ya usalama wa taifa na Diaspora kwaajili ya kumfitini Mhe. Mbowe
Aidha Ntobi amekuwa akimuhusisha na baadhi ya matendo yasiyofaa kimaadili kupitia maandikio yake akimuhusisha na "Mzungu" hasa pale Mhe. Lissu anapokuwa safarini nje ya nchi kama " Soon ataweka wazi faragha za Mzungu wake" pamoja na "Si tuliwaambia jamaa yenu kakimbilia kwa mtasha wake? kiko wapi?", mwisho wa kunukuu
Gentleman,Kwa kosa lipi? Kweli maccm ni mashirikina
Tuondolee utaahira wako wa kikojani hapa21/1 atarudishwa na waliomfukuza watamfata lissu Chauma
NdiyoHivi hawa wapuuzi kama ndo wanatukanana hadharani hivi wanaweza kuongoza nchi hawa?
Kwani Nyasa ndiyo mji mkuu wa Mbeya,Ruvuma,Iringa,Njombe,Rukwa na Katavi?Kwani Serengeti ndio mji mkuu wa Shinyanga ?
Wamamtoa kafara ili kumuwinda Lisu.
Kamati tendaji ya Kanda ya Serengeti katika kikao chake cha jana Jumatano Januari 08, 2025 kimefikia maamuzi ya kumvua Uongozi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw. Emmanuel Ntobi kutokana na utovu wa nidhamu na maadili ikiwemo kuchafua Viongozi wa Chama chake Kitaifa kupitia mitandao ya Kijamii.
Akizungumza ma JamboTv Usiku huu (Januari 09, 2025) Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la CHADEMA Kanda ya Serengeti Lucas Ngoto ameiambia JamboTv kuwa maamuzi hayo ya Kikao yamefikiwa Kisheria ikiwa ni mara baada ya kumpa fursa ya kuweza kujitetea dhidi ya kauli na maandiko yake kadhaa yasiyokuwa na utu na heshima kwa Viongozi wa Chama Taifa.
Ntobi ambaye pia mwaka 2023 aliwahi kusimamishwa Uenyekiti wake kwa mwaka mmoja kutokana na makosa ya kinidhamu, amejitanabaisha mitandaoni kama muungaji mkono na Mpiga kampeni kwaajili ya Mhe. Freeman Mbowe kuweza kurejea tena madarakani kama Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amekuwa na mfululizo wa maandiko kadhaa, yenye nia ya kumchafua, kumtweza na kumtusi Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Tundu Lissu ambaye pia ni Mshindani na mgombea mwenza wa Mhe. Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti wa Chadema taifa kwenye uchaguzi utakaofanyika baadae mwezi huu.
Miongoni mwa kauli zake ni pamoja na kumuita Makamu mwenyekiti huyo kuwa Mropokaji, Mmbea, sambamba na kumtuhumu kufadhili na kuunda kikosi kilichokuwa kinatumia jina la "Sauti ya Wananchi" akishirikiana na watu maarufu mtandaoni na maafisa wa CCM, idara ya usalama wa taifa na Diaspora kwaajili ya kumfitini Mhe. Mbowe
Aidha Ntobi amekuwa akimuhusisha na baadhi ya matendo yasiyofaa kimaadili kupitia maandikio yake akimuhusisha na "Mzungu" hasa pale Mhe. Lissu anapokuwa safarini nje ya nchi kama " Soon ataweka wazi faragha za Mzungu wake" pamoja na "Si tuliwaambia jamaa yenu kakimbilia kwa mtasha wake? kiko wapi?", mwisho wa kunukuu
Siyo kiongozi tu kanda ya Serengeti na ya Victoria wote ni Pro Lissu Mbowe hana chake huko. Hayo mabilioni yake watu watayabunya lakini kura kwa Lissu.Hiyo Kanda ya Serengeti kiongozi lazima ni Pro Lisu.
Kumsimamisha chawa wa Mwenyekiti kwa kauli alizotoa akimkampenia boss wake ni fukuto.
Si ni huyo shoga ntobi?au wapuuzi kina nani maana kwa siasa za kibongo inajulikana wazi wapuuzi wapo sehemu gani hilo wala sio siriHivi hawa wapuuzi kama ndo wanatukanana hadharani hivi wanaweza kuongoza nchi hawa?
Wamachame wamevurugwa mbayaKwani Nyasa ndiyo mji mkuu wa Mbeya,Ruvuma,Iringa,Njombe,Rukwa na Katavi?
Hawawezi chadema ni wakorofi ccm ikasomeHivi hawa wapuuzi kama ndo wanatukanana hadharani hivi wanaweza kuongoza nchi hawa?
Mbona Abduli kaweza kwa rushwa na husemi neno??Hivi hawa wapuuzi kama ndo wanatukanana hadharani hivi wanaweza kuongoza nchi hawa?
Ana uchu wa madaraka, hataki wenziwe wagombee.Mbowe kafanyaje mkuu?
Utakuwa una shida kichwani. Lisu hajawahi kumtukana mtu yeyote. Matusi ya Ntobi yameorodheshwa, kama Lisu amewahi kutukana, ebu orodhesha matusi ya yaliyowahi kutolewa na Lisu.ni hatu nzuri na muhimu mno, kwa taasisi imara kusimamia nidhamu kwa viongozi waaandamizi wake,
Na bilashaka anaefuata ni Tundu Antipas Mughwai Lisu kuchukuliwa hatua sawa na hizo, maana aina ya uropokaji na tuhuma alizonazo zinafanana kila kitu na huyo muungwana,
ili iwe fundisho kwa wasaliti na waropokaji wengine kama hao 🐒
Na Kamati Kuu ya Chadema ikumfuta Lissu uwanachama kwa makosa hayo hayo msije humu kuloloma kaonewa. Msumeno unakata kwa kwenda mbele na kurudi nyuma!