DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Kupitia Ukurusa wake wa X zamani Twitter anaandika Mwanasiasa Emmanuel Ntobi,
Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya Ziwa—mikoa ya Shinyanga, Mwanza, Geita, Tabora na Simiyu. Cha kushangaza zaidi, mkoa mmoja wa Dodoma una Mawaziri wanne.
Hii ni dhihirisho la wazi la kutengwa kwa Wasukuma na wakazi wa Kanda ya Ziwa katika uamuzi wa masuala nyeti ya Taifa, licha ya kanda hii kuwa kubwa kwa idadi ya watu, eneo na mchango wake wa kiuchumi.
Nahene —ndoho tabu!
Unakubaliana na mtazamo wake kwa kiasi gani? mjadala unaanzia kwa waziri wa Uvuvi Bashiru Ally ni mtu wa Kagera au sio kanda ya Ziwa?.