Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hivi ni mbunge wa jimbo gani kanda ya ziwa?Bashir ana toka Kanda ipi
Hivi ni mbunge wa jimbo gani kanda ya ziwa?Bashir ana toka Kanda ipi
Kwahiyo wametoswa on purpose 😅Imfikie Princess binti kiziwi II kwa mjadala zaidi.
Huwa ni muhaya wa Bukoba vijijini..kule kwa rweikizaHivi ni mbunge wa jimbo gani kanda ya ziwa?
Sawa kale kembambaNaibu waziri siyo sehemu ya Baraza la mawaziri kwa mujibu wa katiba!
Ng'wasi Kamani pia Naibu wa Bashiru na ni Kanda ya ziwa toka Mwanza!!
Ni mbunge wa kuteuliwa na Rais lakini ni Wazri hoja ni kuwepo kwake katika bara la mawaziri kama mtu wa kanda ya ziwa inaua hoja ya bwana Ntobi.Hivi ni mbunge wa jimbo gani kanda ya ziwa?
Asante mkuu, samahani kama umekwazika ila ni ukweli kuwa michango yako huwa ni mizuri sana jukwaani. Hayo mengine ni ziadaDah 😅😅😅 Asante.
Brand hairuhusu kuwa mke wa pili/mchepuko.
(Baada ya muda nitafuta hii comment haifai kwenye huu uzi)
Wametoswa sababu kisasi kwa kumkataa malkia wa Azania.Kwahiyo wametoswa on purpose 😅
Naunga mkono hoja, tukiwapinga akina Wanu na hili bandiko lazima tulipinge maana lina mlengo ule ule.
Aman itawale haki baadaeKwa niaba ya wazalamo kutoka hapa Pwani, hili nililiona mapema nikajua ni swala la muda tu litajulikana.
Anyway watani endeleeni kuwa wavumilivu ni kutesa kwa zamu.
Afu watu hawajalishutukia hili,wengi walipigia kelele tu inshu ya undugulization kwenye balazaKwa niaba ya wazalamo kutoka hapa Pwani, hili nililiona mapema nikajua ni swala la muda tu litajulikana.
Anyway watani endeleeni kuwa wavumilivu ni kutesa kwa zamu.
Naelewa rafiki, na naelewa kuwa umetania. Hata mimi nimetania.Asante mkuu, samahani kama umekwazika ila ni ukweli kuwa michango yako huwa ni mizuri sana jukwaani. Hayo mengine ni ziada