Ntobi: Tumetoka kumuona Boniface Jacob Segerea, ana Furaha amenyolewa kipara cha Wembe lakini Ndevu wamemuachia!

Ntobi: Tumetoka kumuona Boniface Jacob Segerea, ana Furaha amenyolewa kipara cha Wembe lakini Ndevu wamemuachia!

Ni kudumisha usafi...na pia kiusalama nywele ndefu/nyingi huweza kuhifadhi vitu hatarishi au visivyoruhusiwa gerezani. Ndugu zetu Rastafarians huwa na vibali maalumu na huruhusiwa kubaki na rasta zao.
Shukrani kwa kujibu.

Hatahivyo, kabla yakuwekwa ndani unakaguliwa. Hakuna chakuficha hapo.

Kuhusu usafi, kwani bwana Boni amehukumiwa? Hii hoja ya usafi ni dhaifu sana.

Ninachikiona hapa ni mwendelezo wa majeshi ya Tanzania kutumia fikra za enzi za ukoloni kwamba walikuwa wanakamatwa watu dhaifu wasiofahamu hata kuoga na kutunza miili yao kwahiyo walikuwa wanachukulia kama binadamu wa daraja la chini.

Hii mindset ni mbovu lakini polisi kwasababu ni taasisi dhaifu sana itachukuwa makumi ya miaka kuona hili na kubadilika.
 
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao

Ntobi amesema ukurasani X

Ahsanteni Sana
Kwani amesha hukumiwa hadi anyolewe kipara? Haja kutwa na hatia bado. Jizo kaamua mwenye
 
Umesema ukweli, masela wanaweza kumfanyia kila kitu, hasa usiku akijifanya kasinzia anakoroma
Unadhani watamfanyia kama ulivyofanyiwa wewe kioindi kile? Hawawezi. Wewe uliganyiwa sanabu muonekano wako ulikuwa unaonyesha unapenda kufanyiwa. Bila shaka ule msaada wa kisaikolijis uliopewa baada ya kutika ulikusaidia ku move on.
 
Mahubusu si sawa na mfungwa (ambaye ameshapewa adhabu ya kifungo)
Ukishaingia gerezwni regardless status yako, unaendana na sheria za kule
Sio kweli. Mahabusu hawanyolewi nywele maana kwa mujibu wa katiba na sheria ni innocent person hadi pale atakapohukumiwa na mahakama.

Kama amenyoa nywele basi ni kwa hiari yake wala hajalazimishwa.
 
Sio kweli. Mahabusu hawanyolewi nywele maana kwa mujibu wa katiba na sheria ni innocent person hadi pale atakapohukumiwa na mahakama.

Kama amenyoa nywele basi ni kwa hiari yake wala hajalazimishwa.
Oh asante kwa kunirekebisha kwenye hilo, so mtoa mada anasema wamemnyoa, how comes or ni kuongezewa chumvi?
 
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao

Ntobi amesema ukurasani X

Ahsanteni Sana
---
Tumetoka kumuona BonIFACE gereza la Segerea akiwa mwenye tabasamu kuliko sisi!!Binfsi, namshangaa (muonekano) kanyolewa kipara cha wembe, ndevu wameziacha.

Ananiuliza "Ngosha vipi?" Kwa sauti yake nene ya kukwauza! Namwambi "Mwanetu, upo hapa gerezani si kwa sababu wewe ni mwizi au jambazi" Bon anacheka akasema "Pambaneni wangu, hatima yangu- ipo mikononi kwenu na watanzania wote... waeleze wamsikate tamaa"
https://x.com/Ntobi_/status/1837081595385123058/photo/1

Ahsante kwa taarifa ila nijuavyo mimi, mahabusi alazimishwi kunyoa maana ni mtuhumiwa tu na si mfungwa. Nahisi kataka mwenyewe.
 
Oh asante kwa kunirekebisha kwenye hilo, so mtoa mada anasema wamemnyoa, how comes or ni kuongezewa chumvi?
Huenda ameamua tu kuongeza baadhi ya vionjo lakini kiuhalisia mahabusu hata akiwa na rasta hazinyolewi hata akae mahabusu kwa muda mrefu maana huyo sio mhalifu bali mtuhumiwa.

Mhalifu (offender) ni mtu aliyehukumiwa na mahakama baada ya kupatikana na hatia ya kosa aliloshitakiwa nalo.

Mtuhumiwa (accused person, suspect) huyu ni mtu anayedhaniwa tu kutenda kosa fulani la jinai ingawaje hajapatikana na hatia ya kosa husika.

Hivyo mtuhumiwa ana haki zote kama innocent person hadi pale itakapothibitika na mahakama kwamba ametenda kosa.
 
Oh asante kwa kunirekebisha kwenye hilo, so mtoa mada anasema wamemnyoa, how comes or ni kuongezewa chumvi?
Kuna wakati unasikia polisi anasema tunamshikilia mhalifu kwa kosa fulani kitu ambacho sio sahihi.

Mtu akishikiliwa na polisi sio mhalifu bali mtuhumiwa wa uhalifu (suspect of a crime). Mahakama pekee ndio yenye legal authority ya kusema fulani ni mhalifu baada ya kupatikana na hatia ya kosa aliloshitakiwa nalo.
 
Back
Top Bottom