Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa kujibu.Ni kudumisha usafi...na pia kiusalama nywele ndefu/nyingi huweza kuhifadhi vitu hatarishi au visivyoruhusiwa gerezani. Ndugu zetu Rastafarians huwa na vibali maalumu na huruhusiwa kubaki na rasta zao.
Kwani amesha hukumiwa hadi anyolewe kipara? Haja kutwa na hatia bado. Jizo kaamua mwenyeMwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana
Unadhani watamfanyia kama ulivyofanyiwa wewe kioindi kile? Hawawezi. Wewe uliganyiwa sanabu muonekano wako ulikuwa unaonyesha unapenda kufanyiwa. Bila shaka ule msaada wa kisaikolijis uliopewa baada ya kutika ulikusaidia ku move on.Umesema ukweli, masela wanaweza kumfanyia kila kitu, hasa usiku akijifanya kasinzia anakoroma
Unawaza usengerema tuNawaza atakavyokuwa ana-pass wind yenye miksa ya mayai, konyagi na Kvant, maafande wanaweza kudhani chumba cha silaha kimepata milipuko
Kwa nini mkuuUnawaza usengerema tu
Kwa nini mkuuUnawaza usengerema tu
Kwasababu wewe umeshatatuliwa marinda unawaza usengerema tu.Umesema ukweli, masela wanaweza kumfanyia kila kitu, hasa usiku akijifanya kasinzia anakoroma
Wewe ni jamii ya upindeUmesema ukweli, masela wanaweza kumfanyia kila kitu, hasa usiku akijifanya kasinzia anakoroma
Sio kweli. Mahabusu hawanyolewi nywele maana kwa mujibu wa katiba na sheria ni innocent person hadi pale atakapohukumiwa na mahakama.Mahubusu si sawa na mfungwa (ambaye ameshapewa adhabu ya kifungo)
Ukishaingia gerezwni regardless status yako, unaendana na sheria za kule
Unazibuliwa chooKwa nini mkuu
Oh asante kwa kunirekebisha kwenye hilo, so mtoa mada anasema wamemnyoa, how comes or ni kuongezewa chumvi?Sio kweli. Mahabusu hawanyolewi nywele maana kwa mujibu wa katiba na sheria ni innocent person hadi pale atakapohukumiwa na mahakama.
Kama amenyoa nywele basi ni kwa hiari yake wala hajalazimishwa.
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana
---
Tumetoka kumuona BonIFACE gereza la Segerea akiwa mwenye tabasamu kuliko sisi!!Binfsi, namshangaa (muonekano) kanyolewa kipara cha wembe, ndevu wameziacha.
Ananiuliza "Ngosha vipi?" Kwa sauti yake nene ya kukwauza! Namwambi "Mwanetu, upo hapa gerezani si kwa sababu wewe ni mwizi au jambazi" Bon anacheka akasema "Pambaneni wangu, hatima yangu- ipo mikononi kwenu na watanzania wote... waeleze wamsikate tamaa"
https://x.com/Ntobi_/status/1837081595385123058/photo/1
Kwani kasha hukumiwa ?
Huenda ameamua tu kuongeza baadhi ya vionjo lakini kiuhalisia mahabusu hata akiwa na rasta hazinyolewi hata akae mahabusu kwa muda mrefu maana huyo sio mhalifu bali mtuhumiwa.Oh asante kwa kunirekebisha kwenye hilo, so mtoa mada anasema wamemnyoa, how comes or ni kuongezewa chumvi?
Kuna wakati unasikia polisi anasema tunamshikilia mhalifu kwa kosa fulani kitu ambacho sio sahihi.Oh asante kwa kunirekebisha kwenye hilo, so mtoa mada anasema wamemnyoa, how comes or ni kuongezewa chumvi?