Nuclear attack: "PRE-RU-SHE-A" mbinu ya kijeshi inayoweza kuokoa uhai wako wakati wa shambulizi la Nyukilia

Duuuu licha ya yote ya kujikinga ila kusurvive kwenye Nuclear reactors ni Kwa kiwango kidogo sana,
Siraha hatari kabisa zile duuu
Mimi hua nawaza Kile kipengele chake cha kuripuka na kutengeneza miale ya rangi ya machungwa angani yaani daaaa Kila kilicho hai hakiponi kabisaa!

Hua na imagine tu Ile atomic iliyopigwa Hiroshima na Nagasaki hua hawaonea huruma sana wahanga walioshuhudia Kile kiama maana daaa
Upo zako unapiga bao na pisi kali unashtukia umetwaliwa na unapepea hewani Kwa speed ya kimbunga kabla hujabamizwa bamizwa mbali huko!
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Hizo ni thermal flash & radiations baada ya BOMU kulipuka, imagine joto lake ni zaidi ya ten million °C, kwahiyo hapo ni kuteketea hadi majivu na huo mlipuko ni blast wave fikria una uwezo wa kurusha jengo mbali kabisa miles 300,mtu anapeperushwa kama karatasi tu, kwahiyo anayekutwa kwenye epicenter hawezi kupona ila kwa wale ambao wako mbali na epicenter wanaweza kupona na mojawapo ya mbinu ya kutumia ili uepuke madhara ni hizi nilizoelezea hata majeshi makubwa kama SEAL wanafundishwa kufanya hivyo ikitokea mlipuko wa Nyukilia.
 
Hizo tabu zote za nini Russia warushe moja tu Ukraine tujifunze😅
Mkuu tusiombe hilo balaa.. Mungu aepushe..
Likipigwa Ukraine.. Itabidi hata nchi jirani kama Poland / Romania / Belarus watu wahamishwe hasa wa mipakani..
Kama wanapigana watumie haya mabomu ya kawaida tu.. Japo najua yanaua pia
 
Itakuwa msala
 
Nyumba za wenzetu nyingi zina vihandaki...
Ni kweli zina handaki na lengo kubwa ni kwa ajili ya security na hizo handaki zinakuwa na outdoors zaidi ya 3, huku kwetu Dar es salaam ndiko watu wanajaribu jaribu kujenga nyumba za basement bado hatujatilia maanani sana. Nchi kama Russia, USA, Switzerland, Israel nyumba za raia wao nyingi zina basement.
 
Mkuu tusiombe hilo balaa.. Mungu aepushe..
Likipigwa Ukraine.. Itabidi hata nchi jirani kama Poland / Romania / Belarus watu wahamishwe hasa wa mipakani..
Kama wanapigana watumie haya mabomu ya kawaida tu.. Japo najua yanaua pia
Uko sahihi, wasitumie hizo silaha kabisa. Nchi kama Urusi & China wana fallout shelters zaidi ya elfu 12 kwa ajili ya kuhifadhi raia wake endapo watashambuliwa na Nyukilia, though haziwezi kutosheleza na zenyewe.
 
Tuombe Mungu aepushie mbal. Hiyo sijui prerushea sijui ni nini utaenda nayo kaburini kama watakumbuka kukuzika
 
Bora nife tu,hakuna hata kitu kimoja nachoweza kufanya kati ya hayo yote uliyoeleza.
 
Hivi kumbe Pakistan ipo vizur kijeshi kuliko iran
 
Bora nife tu,hakuna hata kitu kimoja nachoweza kufanya kati ya hayo yote uliyoeleza.
Unaweza sana ndugu usikate tamaa, isipokuwa ikiwa eneo ulilopo ndiyo epicenter ya BOMU kupona ni majaliwa, ila kama upo Miles kadhaa kutoka epicenter unaweza kupona.
 
Tuombe Mungu aepushie mbal. Hiyo sijui prerushea sijui ni nini utaenda nayo kaburini kama watakumbuka kukuzika
😁😁😁 Hata kama kifo kitakukuta ila ni muhimu upambanie uhai wako kwanza, si unaona mtu mgonjwa ila anapambania afya yake, Yesu alibeba msalaba siyo kwamba hakujua lazima afariki, bali maandiko yatimie na yeye mwenyewe kupambania uhai wake.
 
Mambo si mchezo. Kumbe ile Nuclear Physics A level tulikua tunakalilishana hizi ndio applicability zake!!!
Ile ni kwa ajili ya kujibia mitihani tu na hizi simple applications za hapa na pale, siyo ya complex applications kama hizi ndiyo maana tunasoma kwa levels & specialization.
 
Binadamu sio mtu mzuri hahahahaha .
Ahsante sana kwa somo
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…