Nuclear attack: "PRE-RU-SHE-A" mbinu ya kijeshi inayoweza kuokoa uhai wako wakati wa shambulizi la Nyukilia

Naomba kuelimishwa zaidi kuhusu hiyo mionzi ambayo haikati kona!. Kwanini haikati kona..?
 
Hivi ukizama zako kule Amboni kwenye mapango ukaenda mbali kabisa vp utasalimika?
 
Naomba kuelimishwa zaidi kuhusu hiyo mionzi ambayo haikati kona!. Kwanini haikati kona..?
Alpha & beta radiations ni positive & negative charges respectively, gama ni electrically neutral kwahiyo haziwezi kuwa deflected hali hii upelekea zisiweze ku interact na matter na kuwa reflected, hivyo haziwezi kuturn corner kwa namna yeyote ile na hali hii upelekea gama ziwe na uwezo mkubwa wa kupenya(penetrate) ukilinganisha na alpha & beta.

Alpha & beta radiations kwa sababu ni charged particles, they can be reflected easily na hivyo ku interact na matter kirahisi ndiyo maana zina uwezo wa kupiga kona.
 
Hivi ukizama zako kule Amboni kwenye mapango ukaenda mbali kabisa vp utasalimika?
Kupona itategemea na hayo mapango yalivyo, ikiwa ni epicenter ya mlipuko huponi ila kama ni Umbali kadhaa kutoka kwenye kitovu cha mlipuko unaweza kupona, lakini itategemea na muundo wa hayo mapango, ikiwa yatakuwa na uwazi mkubwa sehemu tofauti tofauti hizi radiations zinaweza kujipenyeza hadi ndani ya pango.
 
Bomu lilipopigwa hiroshima kuna mtu alikuwa karibu na impact epicenter kabisa inasemekana alivukishwa yani bomu lilipomdondokea ni hapohapo alipokuwa amekaa akageuka kuwa mvuke ule ukuta ulipona ila kivuli cha mshkaji kingalipo hata leo hii ngoja nitafute ile pic niiweke hapa.
 
Mzee hongera Kwa Elimu lakininikipigwa Nuclear hakuna precaution measure uliyoitaja hapo mtu atapona kumbuka radiations zinakaa miaka kadhaa zikiwa active utakula nn? Muda wote huo Ili uishi?
 
Asante mkuu kwa elimuu ila Ikipigwa bora mtu utulie ufe zako. Kwanza watakua wamekupunguzia mateso ya vita. Nisurvive ili nigundue nini.
 
Nimekuelewa kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…