Nuh Mziwanda afunga ndoa

Kama namuona shilole jinsi atakavyotokwa povu.Ndoa nazo za wasanii huwa ni za mwendokasi kesho na kesho kutwa utawakuta wanaanikana kwa shigongo.
Ila mie nawaombea heri na baraka tele katika safari yao
 
Mbona mfunga ndoa kama mgonjwa au macho yangu? afya inaonekana haiko sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…