Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
Hayawi hayawi sasa yamekua...
Nuh na Nawal wafunga ndoa...
Hongera Nuh na mkeo Nawal....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaacha kutulia saa hii unasubiri ndoa ndo utulieHongera yao, mie bado nakula ujana kwanza, nikiingia kwenye ndoa natuli kabisa.
Kwani kila siku hua wanakula nini?Sasa haka mario katamlisha nini mke wake?
[emoji23]Tena wahi kabla sijapandisha maharibado mimi nimuoe scorpio me
Husiogope mkuu,kabila tu ndio huwezi kubadili,lakini huu ujinga ulioletwa na wazungu pamoja na waarabu muda wowote unautupia mbali.Nuh kabadili dini na kufuata dini ya mke?nauliza