princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
ni kweliHusiogope mkuu,kabila tu ndio huwezi kubadili,lakini huu ujinga ulioletwa na wazungu pamoja na waarabu muda wowote unautupia mbali.
kwani mbona hata wewe ukitaka kufunga ndoa simple inafaa imefikia mahali kila mtu afany jambo lake sio kwa sababu yule kafanya sherehe kubwa basi na mimi nafanya nenda kanisani funga ndoa then umeeanda kapart chako kadogo mnapita hiviKila laheri aisee!. Hatua ya mwisho kabla ya kukutwa na umauti, hongera sana dogo. Napenda sana jinsi waislam wanavyofunga ndoa......natamani nijitoe ufahamu nami nimtafute shekhe anifungishe japo mm ni christian
[emoji23][emoji23][emoji23]Bora kaoa Kijana mwenzake, yule sugar mummy Shilole angempotezea Kijana wa watu muda wake bure....wanawake wazee waachie akina diamond,harmonize
Ni kweli,panapo majaaliwa In Shaa Allah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mimi natafuta ukinifikiria siyo mbaya.
Ok pamoja mahari ntalipa kidogo kidogo hata kwa mwezi natoa Sh. 5000 utawala wa Baba J ni shida[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu.
Sio kila siku mkuu?Hiyo mbona itachukua miaka sasa?Ok pamoja mahari ntalipa kidogo kidogo hata kwa mwezi natoa Sh. 5000 utawala wa Baba J ni shida
basi umwombe Mungu kwanza akuweke haiHongera yao, mie bado nakula ujana kwanza, nikiingia kwenye ndoa natuli kabisa.
Kila siku duh hali mbaya kwani nikishatoa mahari nusu unaweza kuolewa na mwingine?Sio kila siku mkuu?Hiyo mbona itachukua miaka sasa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wangekuwa hawapendani wasingefunga ndoa.Wanapendana? Sio baada mwezi mnataka kuachana.
Sasa kama huwezi kutoa hiyo elfu 5 kwa siku utaoaje?Kila siku duh hali mbaya kwani nikishatoa mahari nusu unaweza kuolewa na mwingine?