Nuh Mziwanda afunga ndoa

Nuh Mziwanda afunga ndoa

Husiogope mkuu,kabila tu ndio huwezi kubadili,lakini huu ujinga ulioletwa na wazungu pamoja na waarabu muda wowote unautupia mbali.
ni kweli
dini inakufundisha imani tu..
ila kubadili ni kitu kirahisi sana sana...
unabadili tu.. lakini imani yako iko pale pale
 
nampongeza sana huyu dogo janja ila naomb apunguze matumizi ya bangi na feg mana yatamfanya atumbukie kweny ngada.
 
Kila laheri aisee!. Hatua ya mwisho kabla ya kukutwa na umauti, hongera sana dogo. Napenda sana jinsi waislam wanavyofunga ndoa......natamani nijitoe ufahamu nami nimtafute shekhe anifungishe japo mm ni christian
kwani mbona hata wewe ukitaka kufunga ndoa simple inafaa imefikia mahali kila mtu afany jambo lake sio kwa sababu yule kafanya sherehe kubwa basi na mimi nafanya nenda kanisani funga ndoa then umeeanda kapart chako kadogo mnapita hivi
 
mbona kakaa kama mpambe wa bwana harusi vile,naona kakaa pembeni kabisa,sio kwamba ilitakiwa awe katikati kama yeye ndio muoaji?
 
Kila siku duh hali mbaya kwani nikishatoa mahari nusu unaweza kuolewa na mwingine?
Sasa kama huwezi kutoa hiyo elfu 5 kwa siku utaoaje?
Mke utampa nini?Familia utatunzaje?
 
Back
Top Bottom