Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani, Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

Malezi ya watoto wa kiume now days yamekuwa magumu sana,sijiu nini kifanyike ili heshima ya mwanaume irudi kama zamani
 
Hivi huyu nikimwita shogah nitakuwa nimekosea?
 

Na siku akimwingizia madole aje atuambie alivyopata raha.
 
Nna wasiwasi na uanaume wake huyu kijana. Mwanaume wa kweli hawezi kuongea mambo kama hayo.
 

Power of love.
 
ukistaajabu ya ezden utayaona ya nuhu mziwanda
 
Huyu bado mdogo ndio akili zake zinavyomtuma, akiwa mkubwa (mwanaume) sijui ataificha wapi hii aibu.

Huyu ataendelea kuwa mvulana, Akikuwa atakuwa wa kiume...
 
Kanaogopa kuishi kwa wazazi wake atapigwa mpaka akome tunasubiri siku ya kurushiwa mabegi nje

Hivi kweli ana ndugu huyu ambao wapo hai sidhani aisee. Na hilo jina mziwanda ni kabila la WAKWERE hebu waje wamuokoe ndugu yao huku anawaadhiri
 
Huyu dogo ----- anadhalilisha wanaume,anajisifia kupigwa??hovio kabisa
 
Kujulia wanawake ukubwani ni sheedah sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…