Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 235038
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed Shilole, kinampa furaha na ufahamu wa namna anavyopendwa.
Kwanza kupigwa raha, mpenzi wako asipokupiga hakuonei wivu, mimi nafurahi sana na namtaka anipige tu! kila siku akijisikia, ananidhihirishia kuwa ananipenda, alisema.
Nuh alisema mengi yamesemwa kutokana na kupigwa kwake mara kwa mara, huku akidai kwamba hilo halina tatizo kwake, kwa kuwa halitaharibu mapenzi yao wanayoamini yatafika mbali.
Sisi tunawezana na Mungu atusaidie tufikie katika hatua ya ndoa tuliyojiwekea, alimaliza.
maoni yangu:
Kuwa mario nayo ni kipaji kweli
Kuna siku atapigwa dole la kati sasa...!!!ndo atatia akili
Dogo mpuuzi kweli huyu na anatutia aibu anapigwa kila siku yeye tu na alivyo boya anaongea eti kupigwa raha tena Shilole akipiga bia zake balaa Nuhu utamuonea huruma anavyo pelekwa puta na kujichora kwake shishi mikonon atalia siku atakayo mwagwa maana kulelewa hua kunaisha
Power of love.
Huyu bado mdogo ndio akili zake zinavyomtuma, akiwa mkubwa (mwanaume) sijui ataificha wapi hii aibu.
ya kupigwa daily mpwa itakua sio love tuna bali ushoga
Ankooo hata tafsida
Kanaogopa kuishi kwa wazazi wake atapigwa mpaka akome tunasubiri siku ya kurushiwa mabegi nje