Nuh Mziwanda na Shilole waingia kwenye vita vya maneno

Shishi kapanic tuu
Mbona dogo katoa kideo safi kabisa kile na alo wekwa mle katendea haki video
 
wote wana akili za kijinga mnasutana mitandaoni! kila mtu anasimu ya mwenzake wapigiane wamalizane huko.
 
natamani kumjua demu wa nuh wa sasa tafadhar,
 
ANAYOYAFANYA NUHU MUONGOZAJI HUYU HAPA NA SI KWA AKILI YAKE.

 
Michael Jackson Alisoma wapi.. Acha kukariri
 
Wanaume wanaokaa kumtetea huyo nuh mjichunguze,hata make zenu wana shida.
DOGO NYAU'????B-);-🙂-@:-@🙂
 
Reactions: nao
Shishi tulia tuliiiii ka maji ya mtungi.
Muache mziwanda afanye yake. Ukijidai kilopo lopo kajamaa katakuaibisha mama mtu mzima....ohooo!
 
Amuwezi tena dogo kashatoboa.. Naukubali kinyama wimbo wake wa jikeshupa

Haka kadogo kalikuwa kanafundishwa nyimbo za kusasambua sasambua lakini kumbe kana kipaji kizuri.

Kuna ule wimbo wa Hadithi siku zote nilikuwa najua ni Mirror kumbe mziwanda daaaah kashkaji kanajitahidi!
 
Ukichunguza hizi comments utagundua wanawake wanamtetea nuhu na kumponda shilole alafu wanaume wanamtetea shilole na kumponda nuhu. Amazing
 
Michael Jackson Alisoma wapi.. Acha kukariri


Acha kumfananisha Michael Jackson na mambo ya kijinga. Umeshawahi kusikia interview zake? Yule jamaa alikuwa anaandika mashairi yenye akili sio sijui jike chupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…