Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
WE SHISHI HANA UTOTO WOWOTE HAHAHAH KAKOMAA KABISAAKids will be kids!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WE SHISHI HANA UTOTO WOWOTE HAHAHAH KAKOMAA KABISAAKids will be kids!
SANA KALE KAWIMBO..... KATAM SANA SIKUJUA KUWA NUH ANAWEZA KUIMBAila ngoma ni kali
GADNER KAUMIA VYA KUTOSHA, KAISHIA KUOKOTA MIZOGA, KAWA MLEVII NA MCHAFU KOGE..... MAUMIVU SI KWA MANENIO HATA MUONEKANO TU,UNAJUA MTU HUYU KAATHIRIKA KISAIKOLOJIAuna uhakika? muulize lady jay dee kwa gardner amefanywa nn?
kaumia na nini gardner?GADNER KAUMIA VYA KUTOSHA, KAISHIA KUOKOTA MIZOGA, KAWA MLEVII NA MCHAFU KOGE..... MAUMIVU SI KWA MANENIO HATA MUONEKANO TU,UNAJUA MTU HUYU KAATHIRIKA KISAIKOLOJIA
Kupewa talaka[emoji12] [emoji12] [emoji12]kaumia na nini gardner?
mwanaume hapewi talaka ndugu ila wewe ukiitaka unapewa tuKupewa talaka[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Unauliza nini eti? Wewe ni Donkey kweli huwezi mfananisha Michael Jackson na shilole wewe.Michael Jackson Alisoma wapi.. Acha kukariri
shishi ameumia sana hasahasa ukiangalia nyimbo ya Nuh ni nzuri kuliko ya shishi![]()
Ikiwa ni siku chache toka, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na ex wake Shilole, Shishi hajapendezwa nayo hasa kwakuwa imemlenga moja kwa moja.
Kwenye video hiyo, Nuh amemtumia model anayefanana na Shilole. Shilole aliamua kutoa ya moyoni kwa kuandika Instagram na baadaye kuufuta ujumbe:
Wale unaongozana nao wanaweza kuwa mizigo au Baraka. Shukrani za dhati kwani kwenye mashabiki zangu ambao ni baraka na pole sana wasanii wote mnaodhani bado tupo dhama za kutumia mgongo wa mtu mwingine kuweza kutoboa. Kipaji siyo maneno ila ni vitengo. Umemiss mkong’oto?. Sipendagi mwanaume mjinga ndiyo maana umekula mkong’oto wa kutosha… Mshamba usiyejua hata kubadilisha boxer, niweke mbali na maisha yako. Nikifungua mdomo wangu utadhalilika
Naye Nuh Mziwanda aliamua kumjibu Shilole kwenye Instagram:
Siku zote nilikua nataman kuwaomba sana msamaha mashabiki wangu kwa kunimiss kimuziki na kuwapa kile wanachostahili sababu ya nilipotoka ila nasikitika sana kwa habari ambazo mimi nakaushaga tu ila now naona ni too much ‘kama mwanaume lazma niongee ikizidi sana.
Ridhiki upangwa na Mungu na nawashukuru sana wanaonisapot kwenye mziki wangu ‘ila nashangaa binadam mwenzangu anadiriki kupigia sim baadhi ya mastar walionipost clip za video yangu na kuwaambia wazifute kwenye akaunti zao eti wanamdharirisha ‘jamani mbona mimi sina noma nae na nafanya muziki wangu na Mungu wangu.
Mpka cover yake nikapost kwa huruma ya kibinadam ambayo ninayo.mana najua siri ya mafanikio ni kuthamin kazi ya mwenzio na kutokua na chuki.
Haya sasa habari zote nimepata unahangaika kuishusha jike shupa ‘huwezi mana tunaishi chini ya Mungu na huwezi zuia nguvu ya mashabiki wangu ambao wapo tayari kwa chochote kwa ajili ya muziki wangu mangapi ya kunidharirisha umenifanyia mimi nilinyamaza mpaka wasanii wenzangu wanayajua nimeimba kilichonitokea kwenye maisha yangu halisi na ndio siri ya muziki ni hisia na yale ambayo yanatendeka katika jamii.
Unasema nakudharirisha vipi wewe nlivokufumania live mbele ya wasanii wenzangu?unajua niliumiaga kiasi gani au heshima yangu ilishuka kiasi gani.Nahisi ulidhani nikitoka huko sitoendelea kimuziki.dada naamini ndani ya kipaji changu.
Na kingine nakushauri fanya kazi acha skendoz hazina mpango.mashabiki now wanataka mziki mzuri mana stejini hauwezi imba skendo.eti mpaka unalia kwenye sim unadharirishwa na nyimbo yangu watu waliopost wazifute wanakudharirisha mwanamke mwenzao.
Mama kua na roho ya kibinadam utafanikiwa acha roho mbaya na chuki.mimi nadeal na Mungu wangu na mashabiki wangu na naamini ndani ya kipaji changu.na usipanik sana huu mwanzo tu bado Ngoma nyingi kali zinakuja.
USINIPANDIKIZIE CHUKI kwa WATU nakuomba .kila mtu afanye kazi zake.samahan mashabiki zangu kwa hili mana limeniuma sana sana sio ubinadamu kabisa.na hawazifuti ng’o.Mungu yupo na mimi pia big up kwa wale wanaokuogopa na kushindwa kunsapot kisa wewe ila haya maisha tu na tunaishi na kufa.sasa sidhani mkisikia nimekufa mtashindwa kuja kunizika kisa bibie anapga mkwara haya maisha jamani
Always n everKids will be kids!
Na bado![]()
Ikiwa ni siku chache toka, Nuh Mziwanda aachie video ya wimbo ‘Jike Shupa’ ambayo inaelezea jinsi alivyoishi na ex wake Shilole, Shishi hajapendezwa nayo hasa kwakuwa imemlenga moja kwa moja.
Kwenye video hiyo, Nuh amemtumia model anayefanana na Shilole. Shilole aliamua kutoa ya moyoni kwa kuandika Instagram na baadaye kuufuta ujumbe:
"Wale unaongozana nao wanaweza kuwa mizigo au Baraka. Shukrani za dhati kwani kwenye mashabiki zangu ambao ni baraka na pole sana wasanii wote mnaodhani bado tupo dhama za kutumia mgongo wa mtu mwingine kuweza kutoboa. Kipaji siyo maneno ila ni vitengo. Umemiss mkong’oto?. Sipendagi mwanaume mjinga ndiyo maana umekula mkong’oto wa kutosha… Mshamba usiyejua hata kubadilisha boxer, niweke mbali na maisha yako. Nikifungua mdomo wangu utadhalilika"
Naye Nuh Mziwanda aliamua kumjibu Shilole kwenye Instagram:
"Siku zote nilikua nataman kuwaomba sana msamaha mashabiki wangu kwa kunimiss kimuziki na kuwapa kile wanachostahili sababu ya nilipotoka ila nasikitika sana kwa habari ambazo mimi nakaushaga tu ila now naona ni too much ‘kama mwanaume lazma niongee ikizidi sana.
Ridhiki upangwa na Mungu na nawashukuru sana wanaonisapot kwenye mziki wangu ‘ila nashangaa binadam mwenzangu anadiriki kupigia sim baadhi ya mastar walionipost clip za video yangu na kuwaambia wazifute kwenye akaunti zao eti wanamdharirisha ‘jamani mbona mimi sina noma nae na nafanya muziki wangu na Mungu wangu.
Mpka cover yake nikapost kwa huruma ya kibinadam ambayo ninayo.mana najua siri ya mafanikio ni kuthamin kazi ya mwenzio na kutokua na chuki.
Haya sasa habari zote nimepata unahangaika kuishusha jike shupa ‘huwezi mana tunaishi chini ya Mungu na huwezi zuia nguvu ya mashabiki wangu ambao wapo tayari kwa chochote kwa ajili ya muziki wangu mangapi ya kunidharirisha umenifanyia mimi nilinyamaza mpaka wasanii wenzangu wanayajua nimeimba kilichonitokea kwenye maisha yangu halisi na ndio siri ya muziki ni hisia na yale ambayo yanatendeka katika jamii.
Unasema nakudharirisha vipi wewe nlivokufumania live mbele ya wasanii wenzangu?unajua niliumiaga kiasi gani au heshima yangu ilishuka kiasi gani.Nahisi ulidhani nikitoka huko sitoendelea kimuziki.dada naamini ndani ya kipaji changu.
Na kingine nakushauri fanya kazi acha skendoz hazina mpango.mashabiki now wanataka mziki mzuri mana stejini hauwezi imba skendo.eti mpaka unalia kwenye sim unadharirishwa na nyimbo yangu watu waliopost wazifute wanakudharirisha mwanamke mwenzao.
Mama kua na roho ya kibinadam utafanikiwa acha roho mbaya na chuki.mimi nadeal na Mungu wangu na mashabiki wangu na naamini ndani ya kipaji changu.na usipanik sana huu mwanzo tu bado Ngoma nyingi kali zinakuja.
USINIPANDIKIZIE CHUKI kwa WATU nakuomba .kila mtu afanye kazi zake.samahan mashabiki zangu kwa hili mana limeniuma sana sana sio ubinadamu kabisa.na hawazifuti ng’o.Mungu yupo na mimi pia big up kwa wale wanaokuogopa na kushindwa kunsapot kisa wewe ila haya maisha tu na tunaishi na kufa.sasa sidhani mkisikia nimekufa mtashindwa kuja kunizika kisa bibie anapga mkwara haya maisha jamani
shishi ameumia sana hasahasa ukiangalia nyimbo ya Nuh ni nzuri kuliko ya shishi
Always n ever
Kwenye vita ya maneno mara nyingi mwanaume ndio huumia hasa kama mwanamke ni mropokaji mzuri
Nuhu ni mfano halisi wa wanaume wa draaaa..this buddy should manup anatiatia huruma tu na kumuhusisha mungu kwenye upumbavu wake..sijui kama mungu wake anasupport uzinzi wake yeye na jike shupa lake..namshauri nuh akakaange chips ale.!!