Anna ndali
Senior Member
- Apr 24, 2017
- 107
- 95
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amechagua njia sahihi.Maskini binti anyangile itakuwaje sasa maana bado mdogo sana kulelewa na mzazi mmoja
Nuhu alipewa shart la kubadili dini ndo apate mke
Hahaha alisilimu kwa ajili ya Mke full stopTeh teh...yaani baada ya kuslim akapewa zawadi ya Mke..si ndo maana yake eeh?
Amekwambia amebatizwa na kupata Kipaimara..Ina maana alikuwa Mkristu?
Full stop,Hahaha alisilimu kwa ajili ya Mke full stop
Kayakumbuka mafunfishoAlipata na Kipaimara
Maskini binti anyangile itakuwaje sasa maana bado mdogo sana kulelewa na mzazi mmoja
Nuhu alipewa shart la kubadili dini ndo apate mke