Nuhu Mziwanda karogwa au?! Huyu ni Mke au Kangamoko?

Nuhu Mziwanda karogwa au?! Huyu ni Mke au Kangamoko?

Nakumbuka show za hivi kinyume na maadili zilipigwa marufuku na serikali,tumakuwa wasahaulifu sana.
 
Na bado akina Madee wanampigia. Dogo ashazoea maisha ya kulelewa, so hachomoki pale hata iweje hadi apate mwingine wa kumlea.
Ova

Haa! Kumbe meddy anammega kisela?
 
Basi njoo kwangu..mi namahaba huyo nuh mziwanda anasubiri..ntachora tatoo ya jina lako hadi machoni

nakuja nitulize nafsi daddie! sasa nimuache niliyenae au wewe unakuwa deputy? au unafanya kama madee? dogo anashikilia pembe yee anakamua tu!
 
nakuja nitulize nafsi daddie! sasa nimuache niliyenae au wewe unakuwa deputy? au unafanya kama madee? dogo anashikilia pembe yee anakamua tu!

Njoo mamie..sikwambii umwache uliyenae ila mahaba yakikukolea utamwacha taratibuuu kabisa..mi nashika pembe kwa miguu huku mikono inaendelea kukamua
 
Sema huyo shabiki kama vile anapenda chuma mboga hivi hebu angalia picha 2?Au Mziwanda hiyo mambo pia anapatiwa ndio maana hata hasikii mtoto wa watu.
 
Kuna kipi cha ajabu hapo jamani. Dah wabongo bana..

we utakuwa kicheche. hebu nitajie msanii mkubwa duniani anayeweza kufanywa live ujinga kama huo. Nani unaushahidi?, beyonce, taylor swift, anjelika kidjoe, celine dione, tshala mwana, janet jackson? nipe mfano kama siyo kanga moko.
 
Lady gaga, nick minaji na rihana
 
Yetu macho...
 
Attachments

  • 1428592234467.jpg
    1428592234467.jpg
    56.3 KB · Views: 356
Back
Top Bottom