Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee naona mke wa mtu anadinywa kinguo nguo...
kama ulikuwepo Madee ndio demu wake pia anapiga kisiri...toto si jinga lileNa bado akina Madee wanampigia. Dogo ashazoea maisha ya kulelewa, so hachomoki pale hata iweje hadi apate mwingine wa kumlea.
Ova
mmm watu wana moyo....
anatafuta pesa nuhu akale ubwabwa
Dogo atakuwa ana bachelor ya risk management.
Kumbe mkipendwa ndo mnaanza maneno yenu ya shombo ehhee?..mziwanda anawakilisha wanaume wenye mapenzi ya dhati..ila mm simo
Duuu nina hofu na uwakilishi wake! hebu jaribu na wewe tuone! Huu ni Upendo wa kuhapisha Millima kabisa!
Mi siwezi..mziwanda ndo kielelezo cha mahaba bongo..we mwanaume akikufwata na kukwambia anakupenda mwambie akachukue kozi ya mahaba kwa mziwanda..akitoka hapo unamfanya utakavyo
Haaa unanilisha sumu nikisema hvyoo atatoka ndukii kama filbert bay ha ha ha..Nuhu CASE STUDY karibuni mchukue course muongeze silaha tuzidi kuwapenda niitie Molembe, Kiroboto,B5-click, Free wa miss chagga! nilimsahau Root pia unahusika huku!
Katika hao labda freeland ndo amefuzu course ..mana kummiliki yule miss lazima uwe na mapnz kama ya mziwanda
Ha ha ha aje free atuthibitishie ushilole wa miss chaga! Ila B-5 Click ni jembe ntathibitisha vitaimana personally!
Ni shidaaaaaa aiseee ina maana hawezi kupagawisha mashabiki bila kuwakumbatia hivyo au kama anakubalika ni anakubalika tu sio mpaka afanyaje hivyo basi awe wanamfanya kabisaa