Nuksi imeshaanza kwa waliofanya 'Pre Seasons' zao nje ya Ardhi ya Tanzania

Nuksi imeshaanza kwa waliofanya 'Pre Seasons' zao nje ya Ardhi ya Tanzania

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mzee wangu Kocha 'Jeans Hiyo Hiyo' usikasirike hapo ulipowekwa kwa sasa kwani umewekwa Kimtego ila muda wowote unarejea Kikosini.

Mshambuliaji tunayekupenda na Kukubali kuliko wote walioko Kikosini ila hupangwi kwa Chuki ya Kocha na Kiongozi Mwandamizi Klabuni usihofu huenda kwa matokeo mabaya ya kuanzia leo Mahaba Region au ya Morogoro na Mtibwa Sugar FC au yale ya CAFCL au ya African Super League yakamuondoa ( akafurumushwa ) na Kocha 'Jeans Hiyo Hiyo' akirejeshwa utaendelea kutupa Raha kwa Magoli yako na kutupigisha Saluti Kiushangiliaji.

Msimu ujao Kambi iwe Tanzania tu
 
Mbona mapema sana
1690353961898.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom