- Thread starter
- #21
Kuolewa ndo kazi yenu kuu mengine mtuachie lakini kuolewa nako kuna masharti tukifuata misingi ya kiimani la kwanza 1.usafi (ubikira wa mwili) na mengineyo ya tabia na siha njema
Mbona unajikanyaga sana?!
Huu uwoga mnaoudhihirisha kila kukicha, unazidi kuyaweka bayana madhaifu yenu mliyopambana kuyaficha Kwa kuyavika Uungu kwamba Wanaume ni mbadala wa Mungu hapa duniani, unastaajabisha.