NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

NUKUU: Kutokana kanuni ya 50/50 wanawake kuajiriwa kumesababisha ukosefu wa ajira nchini

Uko so mean and naive kiasi kwamba umeona Kwa mwanamke kuolewa ndo deal.
Purposes ya mwanamke Duniani ni kujenga familia na sio kuhangangaika kwenye daladala na makazini thus y now days mko na stress za kujitakia na life isha shift mtakoma kudeal na kiumbe mwanaume
 
Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii

Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha wanawake hivo kuleta balance of the nature na ndoa zilidumu
(wengi wenu ni mashahidi sitaki kutoa testimony yoyote)
👉Ebu tuje Leo hii ambapo wanawake nao pia wanatoka majumbani kwenda kutafta mkate wa Kila siku


ATHARI ZA MWANAMKE KUAJIRIWA
1.UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA WENGI WA KIUME
2.Migogoro ya ndoa isiyoisha
👉ikiwemo kugombea mali
👉Wanawake kushindwa majukumu. Yao kama kupika, kufua, kulea watoto hali inayopelekea kutafuta mbadala wa Mabinti wa kazi
👉Watoto kukosa uangalizi kutoka kwa mama zao. Aslimia Mia hivo kulelewa boarding schools
👉Ukosefu wa uaminifu (cheating)
👉Idadi kubwa ya single mother's kutokana viburi vyao vya pesa na kazi hivo kupeleka "single parent system"
👉Feminism increases


(kuna hili kundi la mascretary wa boss)ufuska wanoufanya unatisha.


Naomba kuwasilisha(ruksa
kukosoa kwa hoja)
Ant-Feminist, very very unhealthy 😇
 
Kuolewa ndo kazi yenu kuu mengine mtuachie lakini kuolewa nako kuna masharti tukifuata misingi ya kiimani la kwanza 1.usafi (ubikira wa mwili) na mengineyo ya tabia na siha njema
Kweli mkuu inatakiwa Wanawake waajiliwe kwenye Baadhi ya Sekta ni vizuri wakaajiliwa Ualimu, sekta ya Afya kwa wingi na sehemu zingine wabanwe.
 
Back
Top Bottom