Mbona unajikanyaga sana?!
Huu uwoga mnaoudhihirisha kila kukicha, unazidi kuyaweka bayana madhaifu yenu mliyopambana kuyaficha Kwa kuyavika Uungu kwamba Wanaume ni mbadala wa Mungu hapa duniani, unastaajabisha.
Bado hamna kitu..wote wewe na mtoa mada
Wewe unaposema ukitoa ajira Kwa mwanaume it means mwanamke atamuoa mwanamke na kuwa kama katoa ajira na mwanamke kapata pa kuponea,unsema mwanamke atakuwa kapata ajira mizani itabalnce...ndoa ni ajira Kwa wanawake?serious mkuu? Unajua hata yanayoendlea ndani ya ndoa kwanza?unajua Kuna wanawake wananynyaswa na mahitaji hawapewi na wako kimya sababu hawana nguvu Wala usemi.
Binti ahenyeke kusoma apate elimu yake Kisha atupe vyeti vyake kabatini asubiri mwanaume ampe Hela ya kijora,asubiri Hela ya wanja,Hela ya chupi bado hajala huyo si chizi?
Sio Kila ndoa mwanamke anajaliwa,kama we unamjali hongera
Hii ni Kwa mujibu wa sheria za ukoo wako?!Kuolewa ndo kazi yenu kuu mengine mtuachie lakini kuolewa nako kuna masharti tukifuata misingi ya kiimani la kwanza 1.usafi (ubikira wa mwili) na mengineyo ya tabia na siha njema
🤣Nimejibu kadri ulivotoa maoni yako anyways unasema sijui jando Ebu niambie point yako ni ipi kuhusu madaWewe ndio mtoa mada uliyesema tujadili mada Kwa hoja? Na hii ndio hoja uliyomaanisha?
Yeah..hawakukutana na watoaji ndo maana wakaamua kutendea haki elimu zao Leo wako maofisini wanapata riziki Kwa jasho lao.Ndio maana mliambiwa "choose wisely" usikurupuke kuingia kwenye ndoa mtu kuwa na pesa haimaanishi ndio anakuwa na moyo wa kutoa pia.mfano Mimi Sina pesa lakini ni mtoaji mzuri japo visijent kidogo
Hii ni Kwa mujibu wa sheria za ukoo wako?!
Kwamba kwenu ninyi mwanamke thamani yake ipo kwenye uchi wake tu?
Ndio maana mwanzo nikakwambia rudi huko porini jandoni Kwa wavulana wenzio waombe wakwambie ukweli.
🤣Yeah..hawakukutana na watoaji ndo maana wakaamua kutendea haki elimu zao Leo wako maofisini wanapata riziki Kwa jasho lao.
Mawazo yako ni ya kizamani sana na ya kijima,zama zimebadilika.kama una uchungu wa kukosa ajira usikae ukawaona wanawake wanakuzibia riziki.futa hayo mawazo .ukiweza jiajiri upunguze hayo machungu maana Kuna wengine Wana wazazi wanawategemea,Kuna wengine hawana wazazi hawana pa kwenda wakiacha kazi wasubiri kuolewa wakikosa hata hizo ndoa waende wapi?
Unadhani Kila Binti anakaa kwao unamkuta kibarazani ama chumbani anasubiri mume?
Iko Wazi weng wanapewa kazi Pasi na vigezoMwenye mada nimemuelewa...
Yaani haya mambo ya gender sijui nini kwenye ajira yaweke fairness kulingana vigezo...juzi kampuni ya maduka cjui na nini ma lc Waikiki walitangaza ajira zaidi ya 600 za wahasibu, macashier, hr etc...eti only to women ..yaani mwanaume haruhusiwi kuapply...Kuna sehemu nyingi tu wanataka only women.... sijawahi ona sehemu inataka wanaume tu...na ikitokea wataonekana wabaguzi...it's not ubaguzi when it's done to men...
Shida inakuja...huyo mwanamke ata earn mshahara let's say 1M 3M hata 5M...atadharau wanaume...mwanaume jobless au mwenye mshahara mdogo kuliko yeye atampa nini....so matokeo yake anakuwa danga la boss, wababa au kuwa na boyfriend nje ya nchi wanakutana mara moja kwa mwaka. Sasa huyo mwanaume anayeambiwa apambane atafute hela wanawake wanataka mwanaume mwenye hela...fursa haumpi...unampa mwanamke tu...mwishowe huyo mwanamke Hana msaada kwa mwanaume wake zaidi ya dharau na visa mwishowe unatengeneza jamii ya wanaume waliokata tamaa ya maisha nakuwa mashoga, wavuta bangi, na kushindwa kuoa kujiendeleza etc...
So katoa mfano mwanaume akipata kazi Kuna mwanamke atafaidika tu...wapo wanawake ambao kazi yao ni kujisnap siku nzima kubandika makucha na mawigi na kutingisha makalio ila wanalipa Kodi, wanakula msosi mzuri sio ugali dagaa, wanavaa nguo za MRP wanasafiria bolt sio daladala nk...unadhani hela zinatokea wapi...si kwa hao wanaume ambao wamepata kazi...na uzuri sio lazma aolewe siku hizi wanawake wananunuliwa mpaka ma range huko na ni michepuko tu...ila mwanamke mwenye kazi anamsaidia nani...hela yake anaitumia kufanya nini isipokuwa tu starehe zake binafsi tena starehe zingine anachangiwa na mabwana zake rundo...
So hoja sio wanawake wanyimwe kazi ila fursa iangalie vigezo sio eti unawapa watu ajira kisa wanawake...
Ubaya ofisi zetu za kibongo boss akishaona chupi...huyo anachanganyikiwa anawaza rushwa ya ngono, anawaza mke wa ofisini, anawaza kuwa baltazar cjui egongo...anasema huyu mwanaume atanipa nini ofisini...
International organization mnaweza apply wengi mkajikuta men 10 girls wawili ndo wenye vigezo hivyo hamna kubebana...
Jamani wanaume wanapitia mengi sana, wanasimangwa sana, wanatukanwa sana...hawaonewi huruma hata na wanaume wenzao...mwanaume yupo radhi amnunulie mwanamke ambae hajamuoa iphone 15 kisa tundu ila kumsaidia hata 10k ya kula mwanaume anaona hasara atanipa nini huyu...
So ndo hivyo
Tuisbie hapa.nimegundua huna hoja Wala ufahamu.
Jamii yenye furaha ni jamii ya wanaume wenye maadili, nguvu ya kiuchumi, wanaowatunza, kuheshimu na kumthamini mwanawake, kinyume chake ndo hii jamii yetu tuliyo nayo ya wanawake wenye nguvu kiuchumi na wanaume wasiojali.Ukosefu wa ajira umetufanya tuchanganyikiwe hadi tunatafuta sababu chonganishi kwa jamii.
InTuisbie hapa.nimegundua huna hoja Wala ufahamu.
Badala unijibu Kwa hoja unaleta mambo ya kidini.
Kuna jambo nimeligusia pale,lakini hujaliona sabbbu una uelewa finyu.na ndo matokeo we uko hapa wanawake wapo maofisini
Naishia hapa na sikujibu Tena!
Bweteen in your lines of your opinions umesema "mnategemewa na wazazi,na huwezi ukakaa unasubiri ndoa huku hauna uhakika) . Sasa itabidi uchague kimoja kazi au mume (huwezi kutumikia mabwana wawili moja lisiyumbe)Tuisbie hapa.nimegundua huna hoja Wala ufahamu.
Badala unijibu Kwa hoja unaleta mambo ya kidini.
Kuna jambo nimeligusia pale,lakini hujaliona sabbbu una uelewa finyu.na ndo matokeo we uko hapa wanawake wapo maofisini
Naishia hapa na sikujibu Tena!
Ww tunakupa muda mwanamke kama nyanya tu! Time inavyozidi kwenda anapoteza ubora na majuto yanaanza ww vimba now but kuna siku utatamani ungeolewa na kuzeeka vzr maana utakuwa na kimbwa chako alone na stress zako zoteUko so mean and naive kiasi kwamba umeona Kwa mwanamke kuolewa ndo deal.
Mwenye mada nimemuelewa...
Yaani haya mambo ya gender sijui nini kwenye ajira yaweke fairness kulingana vigezo...juzi kampuni ya maduka cjui na nini ma lc Waikiki walitangaza ajira zaidi ya 600 za wahasibu, macashier, hr etc...eti only to women ..yaani mwanaume haruhusiwi kuapply...Kuna sehemu nyingi tu wanataka only women.... sijawahi ona sehemu inataka wanaume tu...na ikitokea wataonekana wabaguzi...it's not ubaguzi when it's done to men...
Shida inakuja...huyo mwanamke ata earn mshahara let's say 1M 3M hata 5M...atadharau wanaume...mwanaume jobless au mwenye mshahara mdogo kuliko yeye atampa nini....so matokeo yake anakuwa danga la boss, wababa au kuwa na boyfriend nje ya nchi wanakutana mara moja kwa mwaka. Sasa huyo mwanaume anayeambiwa apambane atafute hela wanawake wanataka mwanaume mwenye hela...fursa haumpi...unampa mwanamke tu...mwishowe huyo mwanamke Hana msaada kwa mwanaume wake zaidi ya dharau na visa mwishowe unatengeneza jamii ya wanaume waliokata tamaa ya maisha nakuwa mashoga, wavuta bangi, na kushindwa kuoa kujiendeleza etc...
So katoa mfano mwanaume akipata kazi Kuna mwanamke atafaidika tu...wapo wanawake ambao kazi yao ni kujisnap siku nzima kubandika makucha na mawigi na kutingisha makalio ila wanalipa Kodi, wanakula msosi mzuri sio ugali dagaa, wanavaa nguo za MRP wanasafiria bolt sio daladala nk...unadhani hela zinatokea wapi...si kwa hao wanaume ambao wamepata kazi...na uzuri sio lazma aolewe siku hizi wanawake wananunuliwa mpaka ma range huko na ni michepuko tu...ila mwanamke mwenye kazi anamsaidia nani...hela yake anaitumia kufanya nini isipokuwa tu starehe zake binafsi tena starehe zingine anachangiwa na mabwana zake rundo...
So hoja sio wanawake wanyimwe kazi ila fursa iangalie vigezo sio eti unawapa watu ajira kisa wanawake...
Ubaya ofisi zetu za kibongo boss akishaona chupi...huyo anachanganyikiwa anawaza rushwa ya ngono, anawaza mke wa ofisini, anawaza kuwa baltazar cjui egongo...anasema huyu mwanaume atanipa nini ofisini...
International organization mnaweza apply wengi mkajikuta men 10 girls wawili ndo wenye vigezo hivyo hamna kubebana...
Jamani wanaume wanapitia mengi sana, wanasimangwa sana, wanatukanwa sana...hawaonewi huruma hata na wanaume wenzao...mwanaume yupo radhi amnunulie mwanamke ambae hajamuoa iphone 15 kisa tundu ila kumsaidia hata 10k ya kula mwanaume anaona hasara atanipa nini huyu...
So ndo hivyo
Maajabu ni kwamba hizo kanuni zinamuhusu mwanamke pekee huku mwanaume yeye akijichukulia seat ya Muumba eti “Mume ni Mfano wa Bwana….etc.nimekujibu hapo Coach salmah
Point ni mbili tu
👉1.usafi - usafi ni neno Pana ndugu bikra ni kitu Namba moja kukupa credit za usafi simaanishi kuoga ni kupaka marashi mazuri
👉Pia Ukifuata zile amri kumi Za Mungu
(hizo zote zimebeba hii title ya usafi)
1.Ucha Mungu amri mbili za mwanzo(ni msafi kiimani na kiroho)
Amri zilizobaki usidhini, usiseme uongo, usiibe, usiue(Kuua kupo kwa aina nyingi Ata Kitendo cha kucheat hapo ni kuwa uaminifu ndani ya ndoa)
👉2.Nimesema kabisa tabia na siha njema(haihitaji maelezo)
Mwisho unauliza thamani ya mwanamke ni uchi "tu "
Soma hiki kifungu kwa makini kutoka kwenye "biblia" na ata pia "Quran"
Je, kabla ya 50/50 mambo yalikuaje?Anamainisha ukiwanyima vijana wa kiume ajira mzani hautaweza kubalance, Mwanaume mwenye ajira ataoa asiye na ajira hivyo kupunguza msoto wa mabinti mtaani, ina maana ukitoa ajira kwa mwanaume mmoja kuna bint mmoja atapata ajira.
Kinyume chake ukitoa ajira kwa binti mmoja hawezi kuolewa na kijana asiye na ajira, unyantasaji huongezeka kupelekea ndoa kuvunjika, kutengeneza ma single mama wengi na kuharibu maadili ya taifa.
Huo ndo uono wake.