Nukuu ya Dkt. Bashiru: "Madalali wa mali za Umma hawawezi kupendezwa na kuhojiwa"

Aliyekuumba ndio wa kumwogopa, umwogope binadamu ambaye kaburi linamsubiri?
 

Mambo kama haya,hawawez elewa..

That's why tunawaambia kuongoza nchi ni Jukumu zito na lenye kuhitaji hekima nyingi.

Wengine wanafikia hatua hata ya kumuombea kifo Samia utadhan dhamana ya uhai wanaimiliki wao vile au kana kwamba wao wataishi milele dunian hapa,Samia ni chaguo la Mungu hata wakikasirika wavumilie tuh,sasa watashindana na mungu watawezea wapi??
 
Mnawakuza kuliko uhalisia.
 
Sema yoteee, ndo unazidi kutufungua wengine macho tujue ya ndani zaidi, nafikiri huyo mkapa angejua ya ndani zaidi bas angekua upande wa JPM.
 
Nimtishe saa hizi usiku ushaingia, sikumtisha mchana kweupe.

Hivi hata picha linavyoenda hulioni kijana?
Mmmm mbona kama povu ? Muache atoe lake Duuu .....ametoka kuswali Jumaa pia ingawa mrengo wake kulia
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani alirudisha

Heri Nusu Shari kuliko Shari kamili, hali ni tete Watanganyika wamevurugwa!
Na hawa wanaozoa mikononi mwa Samia, na yeye mwenyewe; wakati wao utakapofika watarudisha mali za waTanzania wanazopora sasa hivi. Inawezekana hata wakirudisha ni lazima waonje joto ya jiwe kwa kuwafanyia ukorofi wote huu waTanzania.
 
Muda umefika "ndovu" ataaibika.
 
Ungejibu hoja yake,huu mjadala wa bandari umekufanya uhahe sana,hutulii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…