U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Aug 16, 2021 #1 "Siasa Hazikuja kwa lengo la Kuleta Uhasama bali kukuza demokrasia katika nchi" Rais Mstaafu wa awamu ya 2 Mzee Ally Hassani Mwinyi katika mahojiano maalumu na TBC 2016 kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
"Siasa Hazikuja kwa lengo la Kuleta Uhasama bali kukuza demokrasia katika nchi" Rais Mstaafu wa awamu ya 2 Mzee Ally Hassani Mwinyi katika mahojiano maalumu na TBC 2016 kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
Mlundilwa Jr JF-Expert Member Joined Dec 11, 2019 Posts 3,187 Reaction score 4,857 Aug 16, 2021 #2 Lakini hii Leo ukionekana kukosoa jambo Fulani unapigwa vita wewe ikibidi Hadi uchizi unarogezewa