Nukuu za JF

Nukuu za JF

Bufa

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
12,599
Reaction score
26,263
Hizi ni nukuu ninazozipenda kutoka humuhumu JF:

"Miafrika ndivyo tulivyo" Nyani Ngabu

"Tanzania kila kitu kinawezekana isipokuwa maendeleo" Common Citizen

"Watanzania ni watu wa kulalamika tu hata akikuta choo cha nyumba yake kisafi atalalamika kwanini leo choo kisafi"

"Tanzania ina kila kitu isipokuwa watanzania"

"Tatizo Tanzania kila mtu mjuaji"

Ongeza nukuu ulizozipenda pia kutoka humu JF. Samahani wadau ambao nimeweka nukuu zenu bila kuweka majina yenu ni vile nimesahau kidogo
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mrembo sana, ila una kasoro moja nayo ni huna namba yangu - UNDENIABLE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom