Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Vp unadhani mtatoboa hapo??View attachment 2541461
Form is temporary
Class are permanent
Msiichukulie Simba poa
Imekwisha set CLASS yake kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp unadhani mtatoboa hapo??View attachment 2541461
Form is temporary
Class are permanent
Msiichukulie Simba poa
Imekwisha set CLASS yake kimataifa
Usiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goliSijui watu wanataka Simba wacheze mpira gani. Watu wamejiuliza game plan ya Simba jana ilikuwaje? Yule kipa wa Vipers karibia avunjike kiuno kwa saves alizokuwa anafanya.
Mchezaji ambaye naweza sema alicheza chini ya kiwango ni Saidoo na Kanoute. Kanoute hana kawaida ya kucheza chini ya kiwango kwa hiyo itakuwa aliamka tu vibaya. Kimekuwa kilio changu cha muda mrefu kuwa Saidoo asianze game ila kilio changu bado hakijasikika. 90% ya movement zake anapoteza mipira au anaanguka. Inawezekanaje mchezaji mwenye mwili kama wake anakuwa dhaifu dhaifu vile. Anajichekeshachekesha tu hovyo.
Phiri alikuwa tishio sana kipindi cha kwanza ila viungo waliacha kumlisha mipira kwa hiyo alipotea kidogo kipindi fulani. Nilitabiri angetolewa na kweli ikawa hivyo ingawa aliyestahili kutoka mapema ni Saidoo.
Ukiacha hayo muhimu ni point 3. Hii ni timu ya tatu Simba inaifunga nje ndani msimu huu bila kuruhusu goli kutoka kwao.
Wanatamani waugeuze chini juu, kama walovyokuwa wanafanya!Baada ya kutuletea hizo quotes ikawaje? Msimamo wa kundi umebadirika?
Na walivyonawa mkono nayo ingekuwa penati. Na wangefungwa 2 mapema, wangeachia zaidi. INGE na Scenarios zipo nyingi kijana.Usiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
hata kabla mfungaji hajapewa pasi, kibendera kilishakuwa juu na filimbi ilishaliaUsiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
Nipeni takwimu za mechi basiBaada ya mechi ya kibabe Jana kuisha Kwa mnyama kuchukua point 3 za nguvu pale Kwa mkapa hatoki mtu ( isipokuwa Raja Casablanca na Young Africans). Na kujihakikishia mguu ndani vs nje kwenda robo fainali.
MAONI YA WACHAMBUZI BAADA YA MECHI YA SIMBA DHIDI YA VIPERS
Hizi ni nukuu za baadhi wa wachambuzi maarufu hapa bongo .....wanaoufanya mpira usonge mbele ..
Shaffih Dauda - Mchambuzi CLOUDS
"Ni bahati tu Simba SC imeikuta Vipers na yenyewe ikiwa dhaifu, pamoja na ushindi Simba imeonesha kiwango cha chini sana"
View attachment 2541407
Mi nashangaa sana kwanza simba wanayoitaka wao miaka yote imeishia robo fainali ngoja niione hii simba wanayosema wao mbovu itafika wapiSijui watu wanataka Simba wacheze mpira gani. Watu wamejiuliza game plan ya Simba jana ilikuwaje? Yule kipa wa Vipers karibia avunjike kiuno kwa saves alizokuwa anafanya.
Mchezaji ambaye naweza sema alicheza chini ya kiwango ni Saidoo na Kanoute. Kanoute hana kawaida ya kucheza chini ya kiwango kwa hiyo itakuwa aliamka tu vibaya. Kimekuwa kilio changu cha muda mrefu kuwa Saidoo asianze game ila kilio changu bado hakijasikika. 90% ya movement zake anapoteza mipira au anaanguka. Inawezekanaje mchezaji mwenye mwili kama wake anakuwa dhaifu dhaifu vile. Anajichekeshachekesha tu hovyo.
Phiri alikuwa tishio sana kipindi cha kwanza ila viungo waliacha kumlisha mipira kwa hiyo alipotea kidogo kipindi fulani. Nilitabiri angetolewa na kweli ikawa hivyo ingawa aliyestahili kutoka mapema ni Saidoo.
Ukiacha hayo muhimu ni point 3. Hii ni timu ya tatu Simba inaifunga nje ndani msimu huu bila kuruhusu goli kutoka kwao.
Vp unadhani mtatoboa hapo??
Tatizo kubwa linalosumbua vichwa vya watu ni kuiona kila timu inayofungwa na Simba haijui mpira, ni dhaifu. Wanasahau kuwa hizo timu zao wanazodhani ziko vizuri huwa zinapigwa tu zikicheza na hizo timu.Sijui watu wanataka Simba wacheze mpira gani. Watu wamejiuliza game plan ya Simba jana ilikuwaje? Yule kipa wa Vipers karibia avunjike kiuno kwa saves alizokuwa anafanya.
Mchezaji ambaye naweza sema alicheza chini ya kiwango ni Saidoo na Kanoute. Kanoute hana kawaida ya kucheza chini ya kiwango kwa hiyo itakuwa aliamka tu vibaya. Kimekuwa kilio changu cha muda mrefu kuwa Saidoo asianze game ila kilio changu bado hakijasikika. 90% ya movement zake anapoteza mipira au anaanguka. Inawezekanaje mchezaji mwenye mwili kama wake anakuwa dhaifu dhaifu vile. Anajichekeshachekesha tu hovyo.
Phiri alikuwa tishio sana kipindi cha kwanza ila viungo waliacha kumlisha mipira kwa hiyo alipotea kidogo kipindi fulani. Nilitabiri angetolewa na kweli ikawa hivyo ingawa aliyestahili kutoka mapema ni Saidoo.
Ukiacha hayo muhimu ni point 3. Hii ni timu ya tatu Simba inaifunga nje ndani msimu huu bila kuruhusu goli kutoka kwao.
kwa bahati mbaya kabisa hatuna wachambuzi wa soka, tuna watu wa masimulizi, wanaoendeshwa na hisia, bendera fuata upepo na siyo taaluma sababu hawataki kujishughulisha kujiendeleza kwenye hiyo taaluma.Unajua tofauti ya mchambuzi na shabiki .....( professionally)
Simba wakishindwa kumfunga Horoya mitaamini ni timu mbovu imefika kibahi tu, Vipers ndiyo timu mbovu kuliko zote kwenye haya mashindanoView attachment 2541461
Form is temporary
Class are permanent
Msiichukulie Simba poa
Imekwisha set CLASS yake kimataifa
Usisumbuke na hawa VAR wa mchongo. Mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa soka anajua kuwa ile ilikuwa offside labda aamue kujifanya mjinga ili aanzishe ubishi wa kijiweni.Na walivyonawa mkono nayo ingekuwa penati. Na wangefungwa 2 mapema, wangeachia zaidi. INGE na Scenarios zipo nyingi kijana.