Nukuu za wachambuzi maarufu Baada ya mechi ya Simba (wakimataifa)

Usiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
 
Baada ya kutuletea hizo quotes ikawaje? Msimamo wa kundi umebadirika?
Inaweza saidia baadaye .....Baada ya wachezaji kuwa motivated & encouraged with that quotes
 
Usiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
Na walivyonawa mkono nayo ingekuwa penati. Na wangefungwa 2 mapema, wangeachia zaidi. INGE na Scenarios zipo nyingi kijana.
 
Usiseme hawajaruhusu goli, sema kutokuwepo na VAR.. Ingelikuwepo lile lilikua ni goli
hata kabla mfungaji hajapewa pasi, kibendera kilishakuwa juu na filimbi ilishalia

 
Nipeni takwimu za mechi basi
 
Mi nashangaa sana kwanza simba wanayoitaka wao miaka yote imeishia robo fainali ngoja niione hii simba wanayosema wao mbovu itafika wapi
 
Tatizo kubwa linalosumbua vichwa vya watu ni kuiona kila timu inayofungwa na Simba haijui mpira, ni dhaifu. Wanasahau kuwa hizo timu zao wanazodhani ziko vizuri huwa zinapigwa tu zikicheza na hizo timu.
Anyway acha tufurahie uwakilishi wa timu mbili kwenye mashindano tofauti.
 
Unajua tofauti ya mchambuzi na shabiki .....( professionally)
kwa bahati mbaya kabisa hatuna wachambuzi wa soka, tuna watu wa masimulizi, wanaoendeshwa na hisia, bendera fuata upepo na siyo taaluma sababu hawataki kujishughulisha kujiendeleza kwenye hiyo taaluma.
 
Na walivyonawa mkono nayo ingekuwa penati. Na wangefungwa 2 mapema, wangeachia zaidi. INGE na Scenarios zipo nyingi kijana.
Usisumbuke na hawa VAR wa mchongo. Mtu yoyote anayefuatilia mwenendo wa soka anajua kuwa ile ilikuwa offside labda aamue kujifanya mjinga ili aanzishe ubishi wa kijiweni.
 
Nikiwa kama mshabik wa Simba 🦁🦁🦁
Bado hatuna aggressive strikers pia Kwa mechi ya Jana kocha wa vipers angesema chama apewe beki mmoja wa kutembea nae hakuna ambacho kingefanyika.

Bado tunachezea sana nafasi hatuna mtu mwenye uchu wa mabao pale mbele...

Wachezaji Bado wana Tatizo la football ⚽ psychology hili nalo lifanyiwe kazi....

Zile nafasi za kufunga ambazo sisi tulizikosa timu kama Raja lazima akuadhibu....

Sijamwona mshambuliaji tishio pale Simba 🦁🦁

Yaan asikwambie mtu timu zetu Zima safar sana watz Tunaupenda mpira sana....

Nitumie nafasi hii kuwapongeza Timu yangu SIMBA 🦁🦁

Simba 🦁 guvu moyaπŸ€“
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…