hana legal wala 'traditional' basis bana...anatingisha kiberiti tu....ndo maana nikauliza kama jamaa ako serious na X lol....thats an easy matter kabisa.....
kwa ninavyo mkubali x kweli kichwa sina. Sipingi kauli yako
Boss,kimsingi dogo anajua its an easy matter..
alichofanya ni kuja kujisifia hapa..
we huoni hiyo heading ya 'nimekula mtu na mdogo wake'
huoni anajisifia kiaina????
Haha ha, kwetu chagulagaBalafugo ni slang kwetu mtaani Sengerema ni kitu mwake bila maswali cjui huko kwenu Benako mnasemaje....
jibu swali tujue hasa unataka kushauriwa nini?
popobawa anahitaji 'vaselline'???? mhh lol
Hivi kongosho Mtu an dada kuna tatizo gani?
nifanyeje? Kichwa kinauma kila siku.
kwa vile mi kilaza?? Au kunajingine
heri ya senene akirukaruka mwishowe anaishia mdomoni. huyu ndugu yetu ni mwehu kabisa. mtu na dadake, mweeeeee?
Haha ha, kwetu chagulaga
Mabugomola, tehe tehe! Umenikumbusha mbali mami.. Kweli tunaua lugha zetu za asili.
Umekwazika, masikini pole!! Jua tu kwamba ukipanda njugu, usitarajie mtama!! Umelala na dada mtu, ukaendeleza na mdogo wake! Badala ya kuonyesha kuchukia kitendo ulichofanya na kuhitaji msaada, unaleta majigambo hapa! What else do u need??
maoni na ushauri na sio matusi.