WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
kunywa hedex kila siku !Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).
Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.
Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
Kichwa kinauma kila siku.
Hapo wewe kuwa jasiri sana, ongea na huyo X kuwa unataka kuweka mazingira ya amani kati yako na huyo shemeji yako (ney) hivyo akiridhia, wewe mwite huyo ney, kaa naye sehemu nzuri na tulivu ila sio faraga saana coz usije ukambanjua bureee, so mpigishe kilaji huku ukimuuliza tatizo ni nini? pia mwambie hata yeye unampenda pia ila muendelee tu kuwa mashemeji na wewe usiwe unamuonyeshea sasa umepata ndo basi yeye hana mana wakati tayari umeshamvua nguo ya mwisho!
Komaa naye mpe somo ney ataelewa tu mkuu.
Imagine chupi inatupwa Altareni ! Tena chupi yenyewe imewahi kuvaliwa na spika (mtumba !)Duh,wewe kiboko! Bado unataka upelekage uchaf huo church? Any way.., judge not unles i judge myself. Kuhusu huyo Ney hakikisha siku hiyo havai chupi ndo itakuwa salama yako!
Kweli mkuu ni live bila chenga,jamaa anajifagilia kula vifaranga viwili bado kuku mwenyewe tu,ili awe kala kuku na mayai yake. Nalog offmkuu kilaza ... kichwa cha habari kimekaa kama unajisifu vile....?!!
Ndio maana nina mpango wa kumuacha mke wangu kwa kuogopa na changu kuliwa,ili niwe najinafasi vizuri na wake za watu. Nalog offKila mla cha mwenzie na chake pia huliwa usijione kidume sanaaaaaaaaaa .....
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).
Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.
Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
Kichwa kinauma kila siku.
Ndio maana nina mpango wa kumuacha mke wangu kwa kuogopa na changu kuliwa,ili niwe najinafasi vizuri na wake za watu. Nalog off
Maswali ya Msingi:
1. Ilichukua Muda gani tokea Ule tundi la Ney hadi Kumpata X?
2. Je, ulimueleza X about Ney on the spot alipokukubalia au ulimueleza baada ya kumpata au ulimuelezea when unapiga misele?
3. Je Ulipokuwa Faragha na Ney,mlikuwa wapi hadi ikatokea ukala Tundi? mlikuwa Guest, Faragha gan hiyo ambayo ilikuwezesha kula Tundi, Je Ulitumia Condom, kama kweli basi mwana hizaya wewe ulidhamiria, hadi ukabeba zana, kama sio ina maana "uliloweka?".
4. Je umetangaza nia ya Kumuoa X, if No why Ney analeta mambo kuvua Chupi Kaniani, If Yes, ni muda gani umekuwa na X, mikasa mingapi amepata/mmepata kuotka kwa Ney, kwa kipindi gani hasa hadi X akubali umpeleke on the Shrine ilhal akijua kuna kikwazo cha Dadaake (Unless nae Machepele kama Ney)
Ushauri wangu ni kuwa kama umeamua kumuoa X, Tegemea kuishi kwenye Ndoa Chungu Maishani mwako
Sophia George ni mama yake na Patrick Chung - safety wa New England Patriots